Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Wajinga wanazaliwa kila siku ni kweli ila kinachoogopesha ni kuwa wanaotapeliwa sio wapya kuwa walizaliwa na hawajawahi kushuhudia huu utapeli, ni wale ambao wapo na wameshuhudia wengine wakitapeliwa na kulia kwenye vyombo vya habari.Tatizo wajinga wanazaliwa kila siku, wajinga hawawezi kuisha na wanakua ni mtaji kwa hao wapigaji.