Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Na apa ndio tunarogaWamezuiwa Kuroga na siri za kuchoma Sindano kufichuliwa
Si ndio UBAYA UBWELA wenyewe.Wanasema Simba na Azam zinawahujumu..halafu wanawafuata Simba Kmc Complex..wenye akili wawili tu
Hasira za kufungwa.Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup .
Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia , ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu ?
Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa .
View attachment 3148330
Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup .
Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia , ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu ?
Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa .
View attachment 3148330
Sheria Na Kanuni zanasemaje Katika HiloKi ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup.
Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu?
Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.
View attachment 3148330