Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup.

Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu?

Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.

IMG-20241109-WA0072.jpg
 
Huwa mabasi yanakatiza Buza mpaka Chamazi na barabara za huko hata uwe na pikipiki ya Traffic mbele watu hawajali. Kurudi mjini nayo kazi.
Avic town unatafuta darajani, unaitafuta Mwenge kote kuna mkeka na madereva wastaarabu.
Halafu Azam Complex ulikuwa uwanja ambao kila siku upo tohara. Sasa hivi Azam nao wana vigagu.
 
Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup .

Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia , ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu ?

Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa .

View attachment 3148330
Hasira za kufungwa.
 
Mpira wa bongo ni wa drama za Kiswahili zaidi
 
Toka mwanzo haikuwa sawa, kutumia huo uwanja. Hata uwe na ubora gani. Soka la bongo, ni zaidi ya ujuavyo. Kuna mtu nilimwambia, baada ya kupoteza na Azam, Yanga wahame huo uwanja. Nimefurahi hili limetokea. Ukitaka majibu kaulize bench la ufundi. Wao wanapuliza, sisi tunazima.
 
Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup .

Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia , ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu ?

Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa .

View attachment 3148330
 
Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup.

Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu?

Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.

View attachment 3148330
Sheria Na Kanuni zanasemaje Katika Hilo
 
Kwa sasa hatuna budi kusema kuwa utopolo ni wachawi aka washirikina....
Washirikina FC...
Mtahama sana mpk mpimbwe huko...
 
Wanaojua sababu za yanga kuhama uwanja wa azam complex ni yanga wenyewe, mara nyingi azam wamekua wakisema uwanja upo kwene matengenezo mechi zikikaribia, sasa hivi wamepewa muda wa kutosha kupisha hayo matengenezo yao.
 
Team kila siku inapigwa fine kwa ulozi bakhresa amesema hataki mambo ya kishirikina kwenye uwanja wao ila kuhama ghafla pale chamazi kwa mwanasheria wa yanga alivyo kilaza utasikia wamepigwa fine kwa kuvunja mkataba pale chamazi.
 
Back
Top Bottom