Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila tabora wame wanyoosha maana mnahaha ni bao3 tu mnahangaika hiviπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
umeandika kama vile upo kiringeni vipi kuna nini kimetokea huko!..πŸ˜‚
 
Narudia tena kusema ivi!
Makolo vipigo mfululizo vikianza ile milio ya hatumtaki Mangungu itarudi muda si mrefu..
 
Binti mdogo kama wewe unaanzaje kushabikia timu ya wachawi?
 
Sisi tunaoishi kwenye nyumba za kupanga hasa vijana wa kiume akija mpangaji mpya tunafurahi sana..tunaona kimasihara hiyooo
 
Majini yameukataa uwanja wa Azam, lazima wakimbie.
 
TAIFA LINAZIDI KUANGAMIA.

UMASIKINI.
UJINGA NA
MARADHI VIMESHIKA KASI SANA.
 
Reactions: Tui
Wenye uwanja wametegua ulozi wote wa Gongowazi.Imebidi akimbie uwanja.
Tunawakumbusha kuwa hata KMC Mwenge ulozi ni big No.Kuna Camera kila mahali.Hakuna kuwanga.
Kabla ya mechi na Azam,Azam waliwasha taa siku 3 mfululizo hakuna kuwanga.Ikabidi wawange mchana kwenye mageti.
Timu imepigwa faini mara 29 kwa vitendo vya kishirikina.
 
Kwa azam ni hasara kubwa sana Kwa mabingwa kuuhama uwanja.Mapato kutoka timu bingwa na Bora kuliko timu yeyote Tanzania yatahamia manispaa ya kinondoni(kmc)azam na ndugu zao Simba wajinga sana yaani wanashirikiana kuhujumu timu kubwa kimataifa?
 
Kwa azam ni hasara kubwa sana Kwa mabingwa kuuhama uwanja.Mapato kutoka timu bingwa na Bora kuliko timu yeyote Tanzania yatahamia manispaa ya kinondoni(kmc)azam na ndugu zao Simba wajinga sana yaani wanashirikiana kuhujumu timu kubwa kimataifa?
Rudia kusoma na halafu rudi hapa useme ulikuwa unatania.Milioni 6 kwa mechi ni hasara kubwa kwa Azam?Unajua wanatumia shillingi ngapi kudhamini timu za ligi kuu kutokana na matangazo?
Milioni 6 kila mechi ni just a drop in the Ocean.
 
Ali Kamwe alijitapa kwamba Azam Complex sio Azam Complex bali ni Yanga Complex.Aliendelea kudai kwamba wanarejesha heshima ya huo uwanja kwani CAF na FIFA wanashangaa kwamba wenye hawana hadhi ya kutetea jina la huo uwanja. Hivyo wanaubadili jina na kuuita Yanga Complex.
Sasa sijui kwanini wanakimbia na walijitapa kwamba uwanja ni wao?
 
Uwanja sio wao ni sifa za kijinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…