😂😂😂😂😂😂 ila tabora wame wanyoosha maana mnahaha ni bao3 tu mnahangaika hivi😂😂😂😂Toka mwanzo haikuwa sawa, kutumia huo uwanja. Hata uwe na ubora gani. Soka la bongo, ni zaidi ya ujuavyo. Kuna mtu nilimwambia, baada ya kupoteza na Azam, Yanga wahame huo uwanja. Nimefurahi hili limetokea. Ukitaka majibu kaulize bench la ufundi. Wao wanapuliza, sisi tunazima.