[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Style yake kama ya kwangu nilivyokuwa natoka boarding nikishaweka kibegi changu chumbani nakagua mkweche wa dingi kama uko sawa, tyres hazina pancha, breki, kengele na taa ziko sawa basi mi ni kupangilia ziara kila siku. Siku hii kwa shangazi, wajomba, mama wadogo, marafiki n.k
Sa KIJITI kimehusikaje Mkuu...... tuwe na heshima kwa Kijiti Jamaa angu.... next time jirekebishe..Uko sahihi,mwamba hasomeki kabisa siku hizi! Hata post zake zinatia shaka..dizaini kama anatumia kile kijiti! Sijui nani alimuambia aache ile midevu...
Na hii ni mbaya. Acha ale bata bhana, pesa ni zake, muda ni wake na maisha ni yake. Tusimpangie aishije wakati hatukumsaidia kuzitafutaYaani hapa Tanzania ukishajulikana watu wanataka wakupangie uishi vipi, hata hivyo unavyoishi Salim akijua anaweza kukushauri ubadilike
duuuh.... wanamuondoa ayoub.... mbona anafanya vzr kwa macho ya Staff wake...Huyo ameahidiwa ukurugenzi wa tbc
Walifanya kazi nzuri kumtukana magufuli na mwenzie zooora
Mtu anatumia pesa aliyochuma Kwa jasho lake, hajavunja Sheria yoyote ya nchi, lakini Bado mtanzania anakerekaTokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani hivi na Mtu ambaye hajui anataka kufanya nini sasa.
Ushauri wangu GENTAMYCINE Kwake ni kumuomba hebu atulize Kwanza Akili ( Kichwa ) na atafakari anataka kufanya nini Tanzania na kwa Watanzania kutokana na Exposure yake Kubwa kutoka kwa Wakubwa Waingereza kuliko nionavyo sasa na kama nilivyoelezea hapo juu.
Serikali hii Hazina Kubwa Salim Kikeke mnaiacha nini badala ya Kumtumia ili apunguze Mizururo yake ambayo ni kama vile naona inaanza kumpunguzia Credibility aliyonayo kwa Jamii husika ya Watanzania?
au nyie Watu wa Azam Media ( ambayo najua ndiyo pekee wenye Financial Muscles ) za Kumuajiri na Kumlipa Mshahara mkubwa na mnono Salim Kikeke kwanini msimchukue ili mtupunguzie hii 'Mizururo' yake hapa Mjini Dar es Salaam na huko Mikoani?
Ukiona GENTAMYCINE anakuchana ( anakusema ) hivi jua Anakupenda, anajua Potential yako, anaumia kuona Unavyopotea na anataka Ushtuke upesi, ujitafakari na ubadilike ili uendelee kuwa bora na ikiwezekana hata kuzidi ulivyokuwa mwanzo.
Salim Kikeke najua kabisa ( fika ) kuwa GENTAMYCINE Mimi sikufikii kwa lolote lile kuanzia Elimu, Hadhi, Uzoefu, Utajiri, Umaarufu, Pesa ( Mawokoto ) na Exposure, ila nakuomba yatafakari yote haya niliyokuandikia hapa kwani hata Mimi pia nina Utajiri mkubwa ambao ni Tunu / Shani yangu ya Maono, Upeo wa mbali, Akili Kubwa za Asili na Ushauri wa Dhahabu ambavyo nina uhakika huna na kamwe hutokuwa navyo hivyo basi yafanyie Kazi na ipo Siku hata Kimoyomoyo tu utakuja Kunikumbuka na Kunishukuru Nabii na Mtume wa JamiiForums Mimi.
Ninakukubali na nakutakia Mafanikio.
Unatembea sana kka mkubwa .maisha ya kuzurula huku na kule anayoishi salim kikeke ndio mimi nayapenda na ndivyo ninavyoishi. traveling is something that makes me feel very comfortable and I love it.
nikikaa sehemu moja mda mrefu akili yangu inakuwa dormant, nahisi kupata onyonge, nakuwa mtu wa kisirani kiasi cha kupunguza ufanisi wangu wa kufanya kazi.
mimi ni domestic traveler, mizurulo yangu naipiga hapahapa nchini, ila sio mtu wa mitandao.
laiti kama ningekuwa mtu wa mitandao, watu wenye mitazamo hasi kama mleta mada wangenikoma kule instagram kwa picha nzuri ambazo ningekuwa nazi upload kwenye ukurasa wangu. honestly wangepasuka kwa hasira na wivu wao.
hii ni timeline yangu kutoka google map ikionyesha baadhi ya maeneo niliyozurula hapa tanzania mpaka sasa.
Waache watu waishi vile wanataka ilimradi tu hawavunji sheria za nchiNa hii ni mbaya. Acha ale bata bhana, pesa ni zake, muda ni wake na maisha ni yake. Tusimpangie aishije wakati hatukumsaidia kuzitafuta
Ughaibuni wanasema kuna upweke sana tofauti na huku.Hawa watu unafanya kazi UK kwa muda mrefu,badala ya kujiandalia mazingira ya kuishi huko forever unarudije kwenye siasa hizi za ccm ni ile ile strees?. Hajamuuliza au kujifunza kwa yule alichomolewa huko kwa kubembelezwa kuja kuiboresha TBC,mwisho aketemwa kama ganda la muwa na mashitaka juu?
Aah...! Lakini muda mwingine ukimuona anazurula au anacheza draft na wewe ukamuiga bila kujua mwenzio tayari kawekeza vyote vya uzeeni. Hapo unaweza kukuta ana apartment za kutosha hapo anakula maisha milele. Uwe makini. Fuata yako
shukrani sana Menemene [emoji1431][emoji1431]Unatembea sana kka mkubwa .
Ukifika tena Rwamishenye dispensary please join me to insult Satan at Kill time Bar.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Wewe ni kama Mimi,,sipendi kuwa na watu wale wale Kila sikumaisha ya kuzurula huku na kule anayoishi salim kikeke ndio mimi nayapenda na ndivyo ninavyoishi. traveling is something that makes me feel very comfortable and I love it.
nikikaa sehemu moja mda mrefu akili yangu inakuwa dormant, nahisi kupata onyonge, nakuwa mtu wa kisirani kiasi cha kupunguza ufanisi wangu wa kufanya kazi.
mimi ni domestic traveler, mizurulo yangu naipiga hapahapa nchini, ila sio mtu wa mitandao.
laiti kama ningekuwa mtu wa mitandao, watu wenye mitazamo hasi kama mleta mada wangenikoma kule instagram kwa picha nzuri ambazo ningekuwa nazi upload kwenye ukurasa wangu. honestly wangepasuka kwa hasira na wivu wao.
hii ni timeline yangu kutoka google map ikionyesha baadhi ya maeneo niliyozurula hapa tanzania mpaka sasa.
Kweli wewe ndio ccm kabisa. Kujenga kwenu lazima uje wewe mwenyewe?. Labda ksbb wabongo mnapenda misifa,lazima uje mwenyewe utanue mabega wakuone. Umeiona Kenya ilivyijengeka Yale majumba,ni wakenya waishio ulayaww mwenyew una mitizamo ya ki ccmu , nan atakujengea kwenu?
Balance shobo. Alamsik!Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani hivi na Mtu ambaye hajui anataka kufanya nini sasa.
Ushauri wangu GENTAMYCINE Kwake ni kumuomba hebu atulize Kwanza Akili ( Kichwa ) na atafakari anataka kufanya nini Tanzania na kwa Watanzania kutokana na Exposure yake Kubwa kutoka kwa Wakubwa Waingereza kuliko nionavyo sasa na kama nilivyoelezea hapo juu.
Serikali hii Hazina Kubwa Salim Kikeke mnaiacha nini badala ya Kumtumia ili apunguze Mizururo yake ambayo ni kama vile naona inaanza kumpunguzia Credibility aliyonayo kwa Jamii husika ya Watanzania?
au nyie Watu wa Azam Media ( ambayo najua ndiyo pekee wenye Financial Muscles ) za Kumuajiri na Kumlipa Mshahara mkubwa na mnono Salim Kikeke kwanini msimchukue ili mtupunguzie hii 'Mizururo' yake hapa Mjini Dar es Salaam na huko Mikoani?
Ukiona GENTAMYCINE anakuchana ( anakusema ) hivi jua Anakupenda, anajua Potential yako, anaumia kuona Unavyopotea na anataka Ushtuke upesi, ujitafakari na ubadilike ili uendelee kuwa bora na ikiwezekana hata kuzidi ulivyokuwa mwanzo.
Salim Kikeke najua kabisa ( fika ) kuwa GENTAMYCINE Mimi sikufikii kwa lolote lile kuanzia Elimu, Hadhi, Uzoefu, Utajiri, Umaarufu, Pesa ( Mawokoto ) na Exposure, ila nakuomba yatafakari yote haya niliyokuandikia hapa kwani hata Mimi pia nina Utajiri mkubwa ambao ni Tunu / Shani yangu ya Maono, Upeo wa mbali, Akili Kubwa za Asili na Ushauri wa Dhahabu ambavyo nina uhakika huna na kamwe hutokuwa navyo hivyo basi yafanyie Kazi na ipo Siku hata Kimoyomoyo tu utakuja Kunikumbuka na Kunishukuru Nabii na Mtume wa JamiiForums Mimi.
Ninakukubali na nakutakia Mafanikio.
Hata Mumeo anayekukanda / anayekuweka 24/7?Wewe ni kama Mimi,,sipendi kuwa na watu wale wale Kila siku
[emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa afrika huez ijenga afrika ? amka mkuuKweli wewe ndio ccm kabisa. Kujenga kwenu lazima uje wewe mwenyewe?. Labda ksbb wabongo mnapenda misifa,lazima uje mwenyewe utanue mabega wakuone. Umeiona Kenya ilivyijengeka Yale majumba,ni wakenya waishio ulaya
Golden people ndo zao kama humtumii anajichanganya Kila. Mahali unajua nn hata yeye hajui anafanya Nahisi kuna mtu kamlia Mingo amemtoa BBC Kwa ahadi halafu kaachwa manzese anitafuteTokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani hivi na Mtu ambaye hajui anataka kufanya nini sasa.