Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

Yaani kila tamsha yupo, anazurura zurura tu huku na kule na vituko kila mahali..itakuwa kuna stage kwenye ujana mdogo aliruka..
Unadhani anazurula bure huyo analipwa kwenye hizo tamasha na nimkwanja mrefu wewe umekaa tu umeweka matako hapo unadhani kila mtu mjinga kama wewe
 
Hata Mumeo anayekukanda / anayekuweka 24/7?
Mume!?,unamanisha mama Ako ambaye ninaishi naye hapa kwenu nikimkanda mikando ya Kibu D Kibu Denga?

Halafu we dogo ebu njoo ukafue boksa za babaako,maana ule mnyoosho niliomnyoosha nao mama Yako mabao niliyopinga yalikuwa a Kasi mpaka yametoboa boksa
 
actually ilikua ampokee G.msigwaa lakini..
 
Ushauri unaompa ni muhimu sana. Hata mi nimeona anazurura sana. Mwishowe anaonekana muhuni mla bata tu hata kuajiriwa wataanza kua na mashaka nae.

Ila kwenye hiki ulichokiandika umelitaja jina la GENTAMYCINE mara nyingi zaidi kuliko ulivyolitaja jina la mpewa ushauri.
 
Nalipenda mno Jina langu la GENTAMYCINE na sitoacha Abadan kulitajataja katika Posts na Threads zangu mbalimbali hapa JamiiForums.
 
Lakini kuwa BBC haina maana mtu atakuwa tofauti na wengine waliowai kuwa katika nafasi zingine tofauti tofauti uko dunia na walivyoondoka uko walikuja na kuwa wa kawaida tu. Mm nafikir ungejishaur au kushaur wengine ambao wanataka kuwa kama yeye Salim sio Salim kuwa zaidi ya kile alichokuwa kuwa kuendelea kuwa alichokuwa..
 
Si
Si kapokea Nssf yake ys UK sasa ww unatatizo naye ?
 
Binafsi ninaamini Salim Kikeke anajua anachokifanya na tarajieni kusikia taarifa njema zaidi kumhusu yeye.

Namuombea kila la kheri kwenye maisha yake na utumishi wake kwa jamii ya Watanzania.
 
Good observation indeed.
 
Waarabu wana msemo wao( Ukiingilia mambo yasiokuhusu utapata jambo litakalo kukera)So achana na salum Kikeke huna fikra na mawazo ya kumshauri yeye wewe pambana utafute pesa uendelee na maisha yako or alipokwenda ulaya ulimsaidia wewe.Wacheni kuchunguza watu au maisha ya watu.salim Kikeke endelea na life yako ujue bongo watu roho mbaya usijachanganye sana na hawa fikra mgando utakuwa kama wao.
 

una wivu kama inzi
 
Ameamua kufanya mishe kama Wode Maya Sasa wewe unawashwa na nini?
 
ngoja tuongeze wasomaji


Salim Kikeke tenho certeza que GENTAMYCINE não alcanço nada desde Educação, Status, Experiência, Riqueza, Fama, Dinheiro (Mawokoto) e Exposição, mas peço que pensem em todas essas coisas que escrevi aqui porque até eu também tem uma grande riqueza que é Tunu / Minha Honra da Visão, Horizonte Distante, Grandes Mentes da Natureza e Conselhos de Ouro que tenho certeza que você não tem e nunca terá, então faça funcionar e há um dia até em seu coração você vai venha para lembrar de mim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…