DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ghairi au kughairi maana yake ni kubadilisha msimamo wako au jambo ulilokua unataka kulifanya,mfano "Nimeghairi kesho sitosafiri" hakuna tofauti kubwa sana na neno Kuahirisha.Ghairi
Ahirisha
Haya ni maneno yenye maana tofauti, ghairi inatokana na kakubaliana.
Ahirisha haina kukubaliana kokote
Siku hizi unakuta mtu anaandika "Yule ana ela" hapo kwenye "ana" ana maanisha "hana" hajui kua hayo ni maneno mawili yanayo pingana kwenye maana zake,Watoto wengi siku hizi kuandika kwa usahihi ni janga kubwa, inafika muda unajiuliza huko shuleni wanasoma nini?
Ukipita Facebook watu hawawezi kutofautisha hakuna na akuna, hela na ela na vingine vingi. Kuna muda huwa naona labda mimi nazeeka ndiyo maana nacomplicate mambo!
Yaani ni tafrani tupu, na ni wabishi wakielekezwa, utasikia "si umeelewa lakini?" [emoji16]Siku hizi unakuta mtu anaandika "Yule ana ela" hapo kwenye "ana" ana maanisha "hana" hajui kua hayo ni maneno mawili yanayo pingana kwenye maana zake,
Ukisema "ana" maana yake anayo,ila ukisema "hana" maana yake hana hicho kitu.
Wewe ndio unatatizo.Jamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc.
Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye maneno.
Mungu aingilie kati hili anguko, naogopa sana tuko tuendako.
Ni hayo tu.
Wadiz
Kuna kasumba kubwa miongoni mwetu ya kuchanganya neno chat vs chart. Naona mwalimu ka edit.Kwani ni Charts au Chats?, Tuanzie hapo🙄
Wewe unashida. Mtu akijifunza lugha zaidi ya moja anaweza kuingia kwenye tatizo la kuchanganya lugha sikumbuki wanaitaje kuna neno maalumu la hao watu.Halooo, hali ni mbaya mno! Kuna jamaa zangu ni wahitimu wa chuo kikuu lakini uandishi wao si kiingereza wala kiswahili
Tuko tuendapo una namaanisha nini??Jamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc.
Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye maneno.
Mungu aingilie kati hili anguko, naogopa sana tuko tuendako.
Ni hayo tu.
Wadiz
Wewe unashida. Mtu akijifunza lugha zaidi ya moja anaweza kuingia kwenye tatizo la kuchanganya lugha sikumbuki wanaitaje kuna neno maalumu la hao watu.Halooo, hali ni mbaya mno! Kuna jamaa zangu ni wahitimu wa chuo kikuu lakini uandishi wao si kiingereza wala kiswahili
Inawezekana hali ni mbaya kuliko zamani, labda kwa sababu walimu wa sasa sio wakali, na walimu wenyewe wana mapungufu kama hayo. Pia tusisahau uwepo wa wasomi wengi na uwepo wa teknolojia za social media ambao unatufanya tuone mengi peupe.Jamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc.
Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye maneno.
Mungu aingilie kati hili anguko, naogopa sana tuko tuendako.
Ni hayo tu.
Wadiz
Mbona hamumsemi jiwe aliyesema 'kata' ni maneno mawili ka ta!Siku hizi unakuta mtu anaandika "Yule ana ela" hapo kwenye "ana" ana maanisha "hana" hajui kua hayo ni maneno mawili yanayo pingana kwenye maana zake,
Ukisema "ana" maana yake anayo,ila ukisema "hana" maana yake hana hicho kitu.
.... na mtu mmoja ameweza kufa.....tuendako /
Twendako..
Hii nyimbo../
huu wimbo