Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
"Sijui labda ni mimi tu naliona hili." Hakuna Kiswahili sanifu kama hiki TanzaniaJamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc.
Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye maneno.
Mungu aingilie kati hili anguko, naogopa sana tuko tuendako.
Ni hayo tu.
Wadiz
taifa ama Taifa watanzania ama WatanzaniaHilo neno Watanzania ulipaswa kuandika watanzania. Hukuwa na haja ya kuanza na herufi kubwa ni makosa. Naungana na ww tatizo ni kubwa mno.
Kwakweli ni kubwa sana kiasi cha kutia mashaka kuwa, huenda baada ya miaka kadhaa lugha ya kiswahili ikapotea kama zinavyopotea kwa kasi lugha za baadhi ya makabila.Jamani hali ni mbaya sana, watu wanajua kuhesabu lakini kusoma na kuandika ni utapia kichwa, utapia ujinga unaangamiza taifa nyakati za sasa katika uga wa mawasiliano kwa njia ya maandishi, sms, chats etc.
Sijui labda ni mimi tu naliona hili. Uandishi mbovu na makosa ya herufi sahihi kwenye maneno.
Mungu aingilie kati hili anguko, naogopa sana tuko tuendako.
Ni hayo tu.
Wadiz
Basi wewe akili yako haiko sawa, mjomba mimi nimejifunza Kiarabu naongea na kusoma kiasi maandishi yale, niliwahi kujifunza Kifaransa, Kiingereza kwangu sio shida hata kidogo ila hakuna siku nikakosea kutumia herufi zitakiwazo pahala sahihi labda iwe ni typing errors tu na sio mistake hiyoWewe unashida. Mtu akijifunza lugha zaidi ya moja anaweza kuingia kwenye tatizo la kuchanganya lugha sikumbuki wanaitaje kuna neno maalumu la hao watu.
Uwe unasoma na kuelewa. Usijibu tu kujifanya wewe ndio unajua. Wewe unadhani sisi ndio hatujui hizo lugha ulizotaja. Kuna mahubiri gani msikitini ramewahi tolewa bila mhubiri kuchanganya lugha ?Basi wewe akili yako haiko sawa, mjomba mimi nimejifunza Kiarabu naongea na kusoma kiasi maandishi yale, niliwahi kujifunza Kifaransa, Kiingereza kwangu sio shida hata kidogo ila hakuna siku nikakosea kutumia herufi zitakiwazo pahala sahihi labda iwe ni typing errors tu na sio mistake hiyo