Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?
Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)
Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?
Nawasilisha