Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 529
- 1,150
Pesa wampatia, japo unamudu kwa asilimia 55 so itabidi acheat kupata hiyo 45 ilobaki? Na unakuta na yeye ana kazi yakeAtacheat hata kwa lengo la kupata PESA
Cheat nyingi za walio wezeshwa pesa na kitandahi huwa ni visasi na shoulder to cry baada kugundua .....jamaa ana nyumba ndogo.......mengine ongezea weweHili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?
Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)
Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?
Nawasilisha
Atacheat tu hata kuifata 0.0000134% uliyoibakiza wewePesa wampatia, japo unamudu kwa asilimia 55 so itabidi acheat kupata hiyo 45 ilobaki? Na unakuta na yeye ana kazi yake
Tatizo lako kubwa ni kuwa unaona wanawake kama chombo cha mwanamke. Hili ni kosa kubwa tunalofanya wanaume wengi. Sababu zinazofanya mwanaume mwenye mke mzuri na anayemridhishwa kuchepuka ndiyo hizi hizo zinazofanya wanawake wachepuke.Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?
Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)
Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?
Nawasilisha
Kwa nini unategemea wewe mwanamme u-cheat na yeye asifanye hivyo? Kwani mwaume mwenye mke mzuri kabisa anapo cheat amekosa nini?Atacheat tu hata kuifata 0.0000134% uliyoibakiza wewe
So maana yake akijua yupo kwenye safe hands na unampatia pesa na kumridhisha, maana yake possibility ya kucheat inakuwa ndogo?Cheat nyingi za walio wezeshwa pesa na kitandahi huwa ni visasi na shoulder to cry baada kugundua .....jamaa ana nyumba ndogo.......mengine ongezea wewe
Ila wapo wanawake waaminifu.. kuna wengine wanakuambia hawawezi kabisa kuwa kwenye mahusiano mawili kwa wakati mmojaHuwezi kumtimizia kila kitu.
Huwezi kumudu fantasies zake hasa kwenye tendo.
Huwezi kuwa wewe kwenye kila kitu.
Ukilijua hilo, basi umeyajua maisha
Mi nahisi labda kuwaweka wanawake na wanaume kwenye mizani moja sio sawa, nahisi kama wanaume tuna matamanio sana ya sex kuwazidi wanawake. Ndo maana unakuta kuna wanawake wanakaa hadi mwaka hawajasex ila kwa mwanaume ambaye tayar ushaonja utamu wa mwanamke, kukaa hata miezi 3 ni changamotoTatizo lako kubwa ni kuwa unaona wanawake kama chombo cha mwanamke. Hili ni kosa kubwa tunalofanya wanaume wengi. Sababu zinazofanya mwanaume mwenye mke mzuri na anayemridhishwa kuchepuka ndiyo hizi hizo zinazofanya wanawake wachepuke.
Atakwambia uko bsy sana na kazi huna muda nayeHili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?
Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)
Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?
Nawasilisha
100%Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?
Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)
Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?
Nawasilisha
Kwa nini unategemea wewe mwanamme u-cheat na yeye asifanye hivyo? Kwani mwaume mwenye mke mzuri kabisa anapo cheat
Wapi nimesema kuwa hatakiwi kucheat?Kwa nini unategemea wewe mwanamme u-cheat na yeye asifanye hivyo? Kwani mwaume mwenye mke mzuri kabisa anapo cheat amekosa nini?
Haswaaaaa utùlie na yy asiwe makundi pombe huko atadanfanyws tu.....ataambiwa unadhani mumeo hana shauri yako na ujinga wako mashiga hatariiii piaaSo maana yake akijua yupo kwenye safe hands na unampatia pesa na kumridhisha, maana yake possibility ya kucheat inakuwa ndogo?