Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

Swali zuri Sana ila Cha ajabu mpaka muda huu bado hatujapata jibu la kujitosheleza
 
Woiii mm naamini mwanaume ukiweza kufanya mambo kwa asilimia 75 mambo ayo kwaujumla wake kitandani,kushirikiana nae na mengine mengi ukiweza kufanya kwa asilimia 75 ukawa uko fit kila sehem awez cheat .......unawez ukawa mzur kitandani lkn ujui kuhudumia udhaifu tayal unawez ukawa unajua kuhudumia alaf kitandani zero
 
Mwanamke Ukiweza Kumtawala Hisia Zake Umemaliza. Yani ile totally hafurukuti. Anaondoka Leo kesho anarudi
 
Kwani pale bustani ya edeni ilikuwaje maana kulikua na kila kitu ila bado tu akadanganywa na nyoka na akala tunda.

Wanawake ni viumbe dhaifu sio wa kuwaamini sana.
 
Hofu na stress ya kugongewa ni hofu ya kipumbavu sana na ya kijinga mno.
Stress ilipaswa kuwa hii:

Hii ya kugongewa inasababishwa na bongoflavour na nyimbo za mapenzi za kisasa na imezaa wanaume wanaolialia sana kwa ajili ya mapenzi. Vilio vya kipumbavu pumbavu tu.
 
Haichukui nafasi ya daktari.
 
Babe si nimekwambia nilisoma humu jf, akina babu Grahams wakitoa maujuzi🤣🤣
Vyema kupata uzoefu wa Wazee wenu 🤗

Pamoja na kwamba tumezeeka lakini still tunamisi kuitwa hayo Majina mazuri

Imagine upo Kwa bed unajitahidi kumpeleka baby wako kilele cha Mlima Kilimanjaro, na anakupa morale Kwa kukuita hayo Majina

"Baby hard..... Take it all honey...."

Bora tumezeeka sasa 😜
 
Shindikana katika ubora wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…