Kuna Askari anayehusishwa na video ya vitendo vya aibu, Jeshi la Polisi lije na ufafanuzi kuweka mambo sawa

Kuna Askari anayehusishwa na video ya vitendo vya aibu, Jeshi la Polisi lije na ufafanuzi kuweka mambo sawa

Wiki hii kumetoke trending katika mitandao mingi ya ya kijamii inayomuonesha Askari polisi akiwa kwenye gari na akisikiliza wimbo wa Whozu "Vava vava Vavavavayo" .

Nimezunguka Twitter kote na Instagram , kuna walioenda moja kwa moja na kumpa tuhuma za Ushoga. Sasa kwa kuwa video hiyo inamuonesha akiwa na Gwanda. Hii ni aibu na inachafua taswira ya Jeshi la Polisi.

Why dont you come out and mtoe ufafanuzi za je ni uzushi am si uzushi, na kwa kuwa nyie ndo mamlaka ya usimamizi wa sheria, kwa nini msichukue hatua za kisheria ikibainika ni kweli ama si kweli.
1. Kama ni kweli asimamishwe kazi na kuchukuliwa hatua za kisheria.
2. Kama sikweli asisimamishwe kazi na waliozusha na kutengeneza uvumi huo wachukuliwe hatua.

Picha nyingine inayosambazwa ni hii:
View attachment 2534419
Hiyo video ni ya zamani
JamiiForums-402177270.jpg


Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Je kuimba vaa vaaa vaaa ni kosa kisheria? Basi Kama hautaki tuione hiyo picha nasisi tunasema madai yako hayana mantiki.
 
Roho za kishoga zinasambazwa na video za ponografia. Hiyo ni ajenda ya wazi kabisa huko ulaya.
Kila kitu tunasingizia Ulaya. Wa Ulaya wapambane nayo huko huko kwao, wa kwetu tupambane nao huku huku kwetu. Tusijifiche kwenye kichaka cha Ulaya
 
Acha aliwe kiboga ikifika wakati wa uchaguzi wanatumika na CCM kuiba kura
 
Back
Top Bottom