Kuna Askari anayehusishwa na video ya vitendo vya aibu, Jeshi la Polisi lije na ufafanuzi kuweka mambo sawa

Hiyo video ni ya zamani

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Je kuimba vaa vaaa vaaa ni kosa kisheria? Basi Kama hautaki tuione hiyo picha nasisi tunasema madai yako hayana mantiki.
 
Roho za kishoga zinasambazwa na video za ponografia. Hiyo ni ajenda ya wazi kabisa huko ulaya.
Kila kitu tunasingizia Ulaya. Wa Ulaya wapambane nayo huko huko kwao, wa kwetu tupambane nao huku huku kwetu. Tusijifiche kwenye kichaka cha Ulaya
 
Acha aliwe kiboga ikifika wakati wa uchaguzi wanatumika na CCM kuiba kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…