Kuna athari gani kwa kula matunda na maji peke yake tu kwa muda mrefu?!

Sisi ni tofauti na wale wenzetu wa stone age ?
 

Hahahahah imebid nicheke mkuu dah na bado ukapunguza kg12 inamana hapo ungezingatia kwel kwel kukaza buti ungepunguza zaid ya hizo mkuu
 
Kama hayo matunda yanakuba balanced diet basi hakuna tatizo...Zingatia kula matunda yenye kazi hizo chini:-

1.Kujenga Mwili
2.Kulinda mwili.
3.Kukupa nguvu na joto mwilini.
 
Sio rahis kupata madhara kama utakula matunda yenye mchanganyiko na maziwa na samaki siku moja moja..
Uzito mkubwa unaweza kuleta madhara makubwa kwa baadae


Sent using Jamii Forums mobile app

Asante mkuu nadhan sasa hii ratiba niizingatie alaf takuja na mrejesho baada ya kumaliza safar ya mwez
 
Kama hayo matunda yanakuba balanced diet basi hakuna tatizo...Zingatia kula matunda yenye kazi hizo chini:-

1.Kujenga Mwili
2.Kulinda mwili.
3.Kukupa nguvu na joto mwilini.

Unaweza kunisaidia pia mfano wa matunda au kundi la matunda mkuu km hutojali itanisaidia san ktk safr yng ya kupunguza uzito
 
Acheni kurudisha evolution nyuma, mmeanza kuwa monkeys? kuleni vyakula vya wanadamu, tulishatoka huko

[emoji23][emoji23][emoji23]bas mi narud kwa mtindo huu ili kurudisha uzito wangu wa awali....
 
Inategemea unakulaje

Super hero daddy
 
Inategemea unakulaje

Super hero daddy

Mfano asubuhi napiga maziwa yang fresh ya barid bila sukari then hapo mwendo wa glass za maji kila baada ya muda en mchana napiga sahan yang ya matunda mchanganyiko en maji ya kutosha kila muda kupita then usiku pia matunda mchnganyiko ila pia walau kwa week hata mara 2 supu ya sato au sangara.... hapa itakaaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…