Kuna athari gani kwa kula matunda na maji peke yake tu kwa muda mrefu?!

Aisee, kwa hizo kilo fanya juu chini zishuke mkuu, kwa urefu wako inatakiwa ziwe 75 ukizidi sana 80.so uko over obesity.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni tatizo kwel mkuu af zilipanda ghafla sana kiukwel yaan mpk me mwenyewe siku hiz najishtukia maana kitambi nacho kinanitaka duh ad naogopa kwenye mambo yetu naeza poteza hali ya kujiamin kias
 
Mkuu umepunguza kilo 12 kwa mda gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naonaga wengine wanatengeneza juice ya tangawizi+asali kdg ,wanakunywa kila siku absbh..Wanasema inakata mafuta...
 
Matunda yana sukari nyingi tuu; unawezafanya hivyo na usipungue.

Jaribu kuacha kabisa vyakula vya wanga na sukari na badala yake piga menu ya mboga mboga na nyama nyama tuu
 
Matunda hayana virutubisho vya kutosha mwilini. Cha msingi kula matunda kwa wingi na chakula kidogo. Siri kubwa ya kupungua uzito ni kupunguza vyakula vya wanga na mafuta, ila sio kuviacha kabisa. Utadhoofika badala ya kupungua.
 
Naonaga wengine wanatengeneza juice ya tangawizi+asali kdg ,wanakunywa kila siku absbh..Wanasema inakata mafuta...

Mhhhh itabid nifanyie utafiti hili mkuu alaf nione ikibid nifnye hilo zoez maana dah ni shida kwakwel aseeee uzito nilionao had najiogopa japo nasikia ktk huo mchanganyiko wako na limao linahitajika au lah?!!!
 
Matunda yana sukari nyingi tuu; unawezafanya hivyo na usipungue.

Jaribu kuacha kabisa vyakula vya wanga na sukari na badala yake piga menu ya mboga mboga na nyama nyama tuu

Hata nyama nimeshauliwa nisitumie ikibidi kwani inachangia kwa kias kikubwa sana ktk ongezeko la uzito.... hapa nimeona nipunguze hasa vyakula vya kuungwa ungwa na mafuta na hivyo usemvyo vya wanga en kuhusu matunda sijajua km itakuaje ila ngoja tuendelee kuona wajuzi wengine pia watasemaje pia ili kabla ya kuanza hii diet niwe na jibu sahihi
 
na mimi naomba ushauri,nile nini ili niongezeke kilo..kilo zangu zinarange 38-42 ..na last month nilikuwa na 39
urefu 150 cm
umri 26

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1426]mkuu usiombe kuongezeka kg utakuja hapa bdae kuomba kushuka km sie.... ila ukitala uzito uongezeke mara dufu we piga kitu cha lost ya futa la korie daily nyama nyama kwa sana alaf usikose chai kila uamko na ulalapo af fanya vizoez uchwara tuuu huk unapiga burgers [emoji488] eggs chops kwa sana hahahaha mwez tu nakupa utakua tipwa tipwa kg za kutupwaaa
 
Matunda hayana virutubisho vya kutosha mwilini. Cha msingi kula matunda kwa wingi na chakula kidogo. Siri kubwa ya kupungua uzito ni kupunguza vyakula vya wanga na mafuta, ila sio kuviacha kabisa. Utadhoofika badala ya kupungua.

Hapa nimekuelewa mkuu kumbe dawa sio kuacha kabisa misos inabid nipunguze kipimo tuuu au mara 1 kwa siku si mbaya si ndio maana yake!!!
 
Utaongezeka uzito sana,afu mwili utakuwa unaonekana dhaifu

Eh kwahiyo hapo itakua kazi bure itabid nifanye km alivyosema hapo juu mdau mmoja nisiache kula kabisa ila nipunguze milo kidogo tuu
 
Yaani wewe ni mimi full, sema mimi huwa asbh muda wa saa nne mpk 5 ndio naweza pata matunda kidogo na mchana hivyo hivyo jioni naweza kula mchemsho sana sana wa samaki na ndizi moja kabla ya saa 2, hiyo ni J3 mpk Ijumaa mchana. jioni ni gambe mpk tena J3
 
Mhhhh itabid nifanyie utafiti hili mkuu alaf nione ikibid nifnye hilo zoez maana dah ni shida kwakwel aseeee uzito nilionao had najiogopa japo nasikia ktk huo mchanganyiko wako na limao linahitajika au lah?!!!
yes..limao linapunguza ukali watangawizi
 
mmm.basi wale wenye hali nzuri kimaisha ndio wanaweza ongezeka kilo zaid..hivyi vyakula mbona kama vya watu wa high class

mi staki niwe tibwatibwa,yani nataka niongezeke angalau kg 50..Mkuu ukiona kimwili nilichonacho hutaamini kama huyu ni mama
 
Matumizi ya matunda na maji kama chakula ndani ya mwezi mzima itasababisha upungufubwa vitamin aina zote ila kwa kiasi kikubwa Vitamin B12 ,ambayo haipatikani kwenye tunda lolote lile.Upungufu wa B12 vitamin kunaweza kusababisha matatizo ya kinyurologia, ikiwamo matatizo ya akili (psychosis)na kufail kwa kongosho, ambapo kwa kiasi kikubwa utapata kansa kama mla matunda maarufu duniani Bwana Steve Jobs

Kwa sababu matunda yanameng'enywa haraka na mwili unatumia energy faster , utasikia njaa sana baada ya kula matunda.
Njaa ikiendelea kukukamata ndani ya week utadevelop matatizo ya kitabia kama vile tamaa,usununu, .
Blah blah blah niishie hapa

Fanya kumix na mkate mweusi kwa kiasi ani namaanisha mkate wa ngano isiyo kobolewa unapokuwa unakula matunda pia kiasi kidogo cha nyama esp samaki kwa kiasi chake ili deficiency zingine zisikutokee
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yes..limao linapunguza ukali watangawizi

Bas itabidi kila siku asubuhi nipige glass moja ya mchanganyiko wa limao moja vijiko 2 vya asal mbichi na tangawiz kias hapo itakaa vema au vipi mkuu... ila maji ya vuguvugu yatafaa zaid si ndio
 
mmm.basi wale wenye hali nzuri kimaisha ndio wanaweza ongezeka kilo zaid..hivyi vyakula mbona kama vya watu wa high class

mi staki niwe tibwatibwa,yani nataka niongezeke angalau kg 50..Mkuu ukiona kimwili nilichonacho hutaamini kama huyu ni mama

Usinambie uko kama fidodido bhana mkuu ila mi naona bora uwe hivyo bhana ukiwa bonge hapana alaf modo ndio mnalipa zaid sema ukizid nao ni shida bas jitahid kuongeza mosos zaid pia kuna aina fulan ya maZoez nasikia ukifanya yanaongeza uzito ila bado sijafanyia utafit ni yapi so hata msos pia jarib kuuliza wajuz wa mambo kwa undan zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…