Kuna athari gani kwa kula matunda na maji peke yake tu kwa muda mrefu?!

Mwanaume kujinenepea hovyo ni dalili za uzembe.
Kula hovyo hovyo bila kufanya kazi
Kushinda umekaa ndani tu kama furusi la unga
Kutokufanya mazoezi na mapenzi
Kufakamia pombe hovyo hovyo hasa za ofa
Kula mavyakula ya mafuta mengi bila hata kinyaa.
Kulala lala mchana kama una mimba

Bila shaka utakuwa na tabia hizo hapo juu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapa mkuu sasa nimekuelewa vema kuliko maelezo mengine zaid nadhan sasa kwa kutumia haya maelezo yako inabid nipnge karatiba kangu ka msos kwa week nzima vema na mpangilio wa msos km usemavyo hapo ktk maelezo yako ili nisije pata shida tena hapo bdae aseee nikushukuru san mkuu kwa ushaur wako
 
Bas itabidi kila siku asubuhi nipige glass moja ya mchanganyiko wa limao moja vijiko 2 vya asal mbichi na tangawiz kias hapo itakaa vema au vipi mkuu... ila maji ya vuguvugu yatafaa zaid si ndio
yes
 
V B12 inapatikana kwenye vyakula gani zaidi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna njia za kupungua zisizo na madhara kama iyo unayotaka kuitumia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nitake radhi mkuu [emoji20] sio kwa shombo hilo km ni mapenz nafanya zaid karib kila siku kuhusu pombe mi sio mlevi et ila hapo kwenye misos dah umenikuna kwel itabid niachane navyo kwel mambo ya rost rost hahaha mengine kuhusu mazoez ukwel umesema en kaz yang mie ni ya kukaa tu ofisin mara nying so nahis imechangia sana hii
 
poa poa mkuu pia ngoja nikupe routine yangu ya kila siku
Naamka saa 11 kasoro robo
Nawasha data napitia pitia mitandao ya kijamii jf,,whatsapp, instagram,ktalk Mpakaa sa kumi na moja na nusu nakunywa maji glass nne au 2 natulia kidogo saa 11 dk 45 naanza kujiandaa kufanya jogging, 11 dk 55 nipo nje alone nakimbia 1 to two miles ndani ya saa 1 kasoro nakuwa nsharudi home so kujianda na mihangaiko ya kila siku nkifika town napata 2 eggs , milk , na mkate kiasi then natulia saa nne napata mixer ya matikiti na matango , kama sahani mbili hivi, nakaa hadi saa 8 naenda kula cha mchana kama unavyojua huwa tunaburn calories nyingi tunapofanya mazoezi so napata ugali kiasi mboga sa kushato na samaki au nyama kwa kiasi then maji yangu makubwa nasubiri usiku napata matunda tuu na mkate au nakula
matunda tena na mkate na maji siku imeisha kesho tena mazoezi lazima huwa napumzika mara 1 kwa week , .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hunywi pombe jaribu kuushughulisha mwili wako uwe unatoka jasho.
Mfano unatembea kutoka kazini mpaka nyumbani
Au distance ya kilomita 3 daily itakusaidia kupunguza hayo mafuta mgando yasiyo na kazi mwilini na minyama isiyo na tija
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nimekuelewa mkuu kumbe dawa sio kuacha kabisa misos inabid nipunguze kipimo tuuu au mara 1 kwa siku si mbaya si ndio maana yake!!!
Yes. Maana ukiacha kula kabisa utaathiri kazi za mwili negatively. Punguza taratibu, huku unapima maendeleo taratibu. Kupungua uzito kwa haraka pia ni mbaya. Utaonekana kama mgonjwa.
 
asante sana..kungekuwa na uwezekano wa kutransfer kgs ningekuomba unipe hata kg 5[emoji2][emoji2]

[emoji2]kuna namna moja tu ya kutransfer mkuu kupitia naniiii zetuu zileeee nadhan umeelewa we mtu mzima hahahahah tena zangu zitakufanya uwe na kg zakutoshaaaaa[emoji4]
 

Okey hapo imekaa poa sana ila vipi inakusaidia kubalance uzito kweli.... ebu nijuze una uzito unaoendana na urefu wako BMI
 

Nitaufanyia kazi mkuu ushauri naona hapa umeongea point sana ofcoz itafaa maana nimekua mzembe sana na hii mifuta ya mwili itaua shows zang
 
Yes. Maana ukiacha kula kabisa utaathiri kazi za mwili negatively. Punguza taratibu, huku unapima maendeleo taratibu. Kupungua uzito kwa haraka pia ni mbaya. Utaonekana kama mgonjwa.

Asante mkuu hapo somo limeeleweka vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…