Kuna athari gani kwa kula matunda na maji peke yake tu kwa muda mrefu?!

Hakuna madhara yoyote, kula hata mwaka mzima
 
Hakuna madhara yoyote, kula hata mwaka mzima

Hahaha inaonekana kama tumeingiliana sehem sio kwa kunitakia kifoooo ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: sab
Kibaya kutangulia tuu mzee baba unadhan nani anapenda kutangulia [emoji23]
Hahahha mbinguni tu ndio unaogopa kutangulia , kwingine mbina unaoenda uwe wa kwanza kutangulia,
 
Shida yote ya nini?
Jaribu kununua supplements za kupunguza uzito kutoka Clean 9
 
Shida yote ya nini?
Jaribu kununua supplements za kupunguza uzito kutoka Clean 9

Hiyo laki 3 ya kununua c9 clean bora niache tuuu nijipange na diet yang kama kawaida mkuu hilo jambo zito kwa uchumi huu
 
[emoji2]kuna namna moja tu ya kutransfer mkuu kupitia naniiii zetuu zileeee nadhan umeelewa we mtu mzima hahahahah tena zangu zitakufanya uwe na kg zakutoshaaaaa[emoji4]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ basi mkuu,yaishe.
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maisha rahisi sana.... Watu wanafunga mpaka gambe.
 
Hahahahah imebid nicheke mkuu dah na bado ukapunguza kg12 inamana hapo ungezingatia kwel kwel kukaza buti ungepunguza zaid ya hizo mkuu
Kati ya december to january kilo zilikua zinapungua kwa kasi nikastopisha kusherehekea kumaliza mwaka.... Now nimerudi kumalizia kilo sita zilizobaki...
 
Matunda yana sukari nyingi tuu; unawezafanya hivyo na usipungue.

Jaribu kuacha kabisa vyakula vya wanga na sukari na badala yake piga menu ya mboga mboga na nyama nyama tuu
Wazo zuri ila matango yapo poa sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…