Kuna athari zozote za kiafya ninaweza kupata kwa kulala utupu

Wewe ni Dida KukuMtamu?
 
Itakuwa vizuri, watasahau kuiba watakuwa wanakushangaa tuuu jinsi muumba alivyotumia ufundi kukuumba
 
mbona nilisikia popobawa alishakufaga?

Usidanganyike mkuu, kijana Popobawa baada ya kupata ukimwi hatimaye alifariki miaka ya 90 mwishoni ila ana vizazi alivyo viacha baada ya kubaka wanawake, umesahau hili?
 
jirani yangu aliyekuwa na tabia hiyo siku moja alukurupuka kumkimbiza mwizi huku akipiga kelele za mwizi majirani walipojitokeza kutoa msaada wakajikuta wanarudi kimya kimya majumbani mwao kwa walichokiona.
 
Na wewe dume zima utajiitaje "sukari yenu"?...Au ndio unataka ulambwe hiyo sukari!!!?.
Tatizo lako una ufinyu wa mawazo wewe, huwezi kufanya tafakari kwa mapana. Kwani unavyojua wewe kila neno lina maana unayoijua wewe tu, huo ni ujinga.

Pale Ubungo mataa kuna bar inaitwa Yenu (Yenu Bar), unaweza kujua au kuniambia hilo neno Yenu lina maana gani hapo?
Acha upu.mbavu wewe

Mbona wewe unajiita chenjichenji na hatukuhoji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…