Kuna athari zozote za kiafya ninaweza kupata kwa kulala utupu

Kuna athari zozote za kiafya ninaweza kupata kwa kulala utupu

Duh! Wabongo kwa kashifa mko vizuri! Kwa hiyo mtu akijiita sukari yenu ni shoga? Mbona mnakua too judgemental ilihali wengi wenu mnafanya hayo mambo ya kishoga kuliko hilo la kulala mtupu.

Mnajua maana ya sukari yenu? Na kwa nini niliitwa hivyo?

After all naishi peke yangu, kuna ubaya gani mi kulala ninavyojisikia? Hata ukivaa jeans popobawa akitaka kukupitia atapita tu. Huna cha kumzuia wewe. Mnahitaji maombi sio bure na inavyoonekana wengi wenu humu mnashiriki kale kamchezo ka sodoma.

Anyway, thanks all for your comments. I have learned something.

Sukari Yenu
Wewe ni Dida KukuMtamu?
 
hakuna madhara kabisa na kama yapo nadhan mimi ningekuwa nimeyapata mengi sababu nikifika tu home na chochoa nguo zote naamaanisha zote najitembeza mtupu napika mtupu nafanya usafi mtupu yani mtu ukinichungulia dirishni unaweza dhani nawanga aiseee.. naogopaga incase vibaka wakaja ndiyo itakuwa issue
Itakuwa vizuri, watasahau kuiba watakuwa wanakushangaa tuuu jinsi muumba alivyotumia ufundi kukuumba
 
mbona nilisikia popobawa alishakufaga?

Usidanganyike mkuu, kijana Popobawa baada ya kupata ukimwi hatimaye alifariki miaka ya 90 mwishoni ila ana vizazi alivyo viacha baada ya kubaka wanawake, umesahau hili?
 
jirani yangu aliyekuwa na tabia hiyo siku moja alukurupuka kumkimbiza mwizi huku akipiga kelele za mwizi majirani walipojitokeza kutoa msaada wakajikuta wanarudi kimya kimya majumbani mwao kwa walichokiona.
 
Na wewe dume zima utajiitaje "sukari yenu"?...Au ndio unataka ulambwe hiyo sukari!!!?.
Tatizo lako una ufinyu wa mawazo wewe, huwezi kufanya tafakari kwa mapana. Kwani unavyojua wewe kila neno lina maana unayoijua wewe tu, huo ni ujinga.

Pale Ubungo mataa kuna bar inaitwa Yenu (Yenu Bar), unaweza kujua au kuniambia hilo neno Yenu lina maana gani hapo?
Acha upu.mbavu wewe

Mbona wewe unajiita chenjichenji na hatukuhoji?
 
Back
Top Bottom