dwoxye
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 679
- 353
HahahaaaMkuu, mtoa mada Nadhani anazungumzia uchi wake yeye mwenyewe na sio uchi wa mnyama.
...daah! Mkuu you made my evening!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaaMkuu, mtoa mada Nadhani anazungumzia uchi wake yeye mwenyewe na sio uchi wa mnyama.
Wewe ni Dida KukuMtamu?Duh! Wabongo kwa kashifa mko vizuri! Kwa hiyo mtu akijiita sukari yenu ni shoga? Mbona mnakua too judgemental ilihali wengi wenu mnafanya hayo mambo ya kishoga kuliko hilo la kulala mtupu.
Mnajua maana ya sukari yenu? Na kwa nini niliitwa hivyo?
After all naishi peke yangu, kuna ubaya gani mi kulala ninavyojisikia? Hata ukivaa jeans popobawa akitaka kukupitia atapita tu. Huna cha kumzuia wewe. Mnahitaji maombi sio bure na inavyoonekana wengi wenu humu mnashiriki kale kamchezo ka sodoma.
Anyway, thanks all for your comments. I have learned something.
Sukari Yenu
Lipo tatizo sehemu Kwa huyu mtu.maswali au umeunganisha dots Mkuu!?
Itakuwa vizuri, watasahau kuiba watakuwa wanakushangaa tuuu jinsi muumba alivyotumia ufundi kukuumbahakuna madhara kabisa na kama yapo nadhan mimi ningekuwa nimeyapata mengi sababu nikifika tu home na chochoa nguo zote naamaanisha zote najitembeza mtupu napika mtupu nafanya usafi mtupu yani mtu ukinichungulia dirishni unaweza dhani nawanga aiseee.. naogopaga incase vibaka wakaja ndiyo itakuwa issue
mbona nilisikia popobawa alishakufaga?
Mh wanaweza taka kunitumia kwa nguvu aiseeItakuwa vizuri, watasahau kuiba watakuwa wanakushangaa tuuu jinsi muumba alivyotumia ufundi kukuumba
Tatizo lako una ufinyu wa mawazo wewe, huwezi kufanya tafakari kwa mapana. Kwani unavyojua wewe kila neno lina maana unayoijua wewe tu, huo ni ujinga.Na wewe dume zima utajiitaje "sukari yenu"?...Au ndio unataka ulambwe hiyo sukari!!!?.