The silent smile
Senior Member
- Jul 17, 2025
- 124
- 206
Habari wadau,
Zama hizi kumekuwa na utaratibu wa wamiliki au madereva wa vyombo vya usafiri kuweka jumbe mbalimbali katika vyombo hivyo. Jumbe hizo huwa za aina tofauti tofauti: zipo za majivuno, za kuelimisha, za kukumbusha na hata za kuchekesha.
Hivi karibuni nimekutana na ujumbe mmoja mtandaoni ambao kiukweli nimeupenda sana, maana umebeba ukumbusho mkubwa kwetu binadamu wenye tabia tofauti tofauti. Ujumbe huu umewalenga hasa wale wanaojiona bora kuliko wengine, waliosahau kwa sababu ya kiburi, majivuno na kuwadharau wenzao kwa namna yoyote.
Lakini pia ujumbe huu unawagusa wale ambao hawana tabia hizo, ili nao wasije wakajikuta wakiingia huko.
Kula chuma hicho... 👇👇