Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ostadhat Mungu wa mbinguni akubariki sana.Jamaa hata comments zake sipendi ku like anatukumbusha machungu.
Kumbuka ule usemi wangu kwako.
Kumbe wenye kujitambua mpo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ostadhat Mungu wa mbinguni akubariki sana.Jamaa hata comments zake sipendi ku like anatukumbusha machungu.
Robot la MatopeTUKANA UONE
Roboti la matope
Aisee kenge kaingiaje apo..
Enewei kuna jamaa anajiita Kichwa kichafu kweli ni kichafu kuna uzi anasimulia alivyombandua ndugu yake wa damu kila nikimfikiria simmalizagi.
Mwingine Maharage ya Ukweni wengine ni Afisa uroda,Afisa ubashiri,Afisa usafirishaji..apo bado kuna Chama wa njombe , Aziz Ki wa bonyokwa aafu kuna mwamba anajiita Babaake moderator
Nilivosoma hii thread jina la kwanza ni hilo namba mojaHabari wanajf
The fact kwamba jf watu wengi ni anonymous, inawafanya wanatumia majina ya ajabu sana.
Kuna majina jf ukiyasoma unaweza cheka, kushangaa au kufikiria sana,
Pongezi kwa wanajf wanaotumia majina yao mawili kama Lukas Mwashambwa leo tuwatag watu wenye majina ya ajabu humu watupe ufafanuzi kidogo mfano.
labia majora
KENGE 01
AKILI TATU
Panzi Mbishi
Nzi Chuma
MFALME WETU
Kijakazi
3 Angels message
Kitimoto
kina kirefu
mdudu
Bwana wee[emoji2][emoji23][emoji23]
litutumbwe 🤣Habari wanajf