Nakubusu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2022
- 772
- 1,837
Anapendaga kulia huyooo,nyuz zake karibu zote utasikia"nikalia sanaaaa".Nulitaka nimtaje mwamba mimiamadiwenani umeniwahi.mwana jina lake special ssna. Kama alikua anatongoza vile kwenye simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapendaga kulia huyooo,nyuz zake karibu zote utasikia"nikalia sanaaaa".Nulitaka nimtaje mwamba mimiamadiwenani umeniwahi.mwana jina lake special ssna. Kama alikua anatongoza vile kwenye simu
Hili jina ndo la ajabu zaidi hapa JF [emoji23][emoji23][emoji23]
inamankusweke de liboHabari wanajf
The fact kwamba jf watu wengi ni anonymous, inawafanya wanatumia majina ya ajabu sana.
Kuna majina jf ukiyasoma unaweza cheka, kushangaa au kufikiria sana,
Pongezi kwa wanajf wanaotumia majina yao mawili kama Lukas Mwashambwa leo tuwatag watu wenye majina ya ajabu humu watupe ufafanuzi kidogo mfano.
labia majora
KENGE 01
AKILI TATU
Panzi Mbishi
Nzi Chuma
MFALME WETU
Kijakazi
3 Angels message
Kitimoto
kina kirefu
mdudu
Nuzulati mtoto mtamu kama sharubati😋
Huyu mwamba sijui anamaanisha nini!
kiswahili fasaha cha juice....Oya Makamba Sharubati ndio Nini ?
Lugha mbaya hivyo.kiswahili fasaha cha juice....
charger inaitwa kichagizijachoLugha mbaya hivyo.
Mpaka nimelitenge herufi mbili mbili ndio nimepatia kusoma kmmmk.charger inaitwa kichagizijacho