Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kaelezea sana Sasa😒😒Umeongea kwa uchungu 😌 Ila una point
Wanawake wana huruma sana! Huyu mtoto ni mshamba ila mnampa asali... dahh! 😂🙌🏾mimi ni mshamba kweli
afu linatamkika vizuri😂
Una point...ni vizuri ukasikilizwa.Vizuri! Maana yangu ni kwamba...
"MIMI SI KITU KWAKE MUNGU MUUMBA HATA NIKIWA NA ELIMU YA KUTOSHA, MAHALA PAZURI PA KULALA, FEDHA, BIASHARA, KAZI NZURI, UZOEFU NA EXPOSURE THABITI NA WIGO MPANA WA KUFAHAMIANA NA WATU AIDHA NDANI NA NJE, KWENYE VITENGO LAKINI YOTE SI KITU.
SIKU MOJA NITAKUWA KAMA GOGO LISILOJIELEWA LENYEWE NI GOGO, SITAZIKWA HATA NA SAA YANGU MOJA YA MKONONI, NITAISHIA KUELEMEWA NA TANI ZA MCHANGA NA NITAGEUKA KUWA CHAKULA CHA MAFUNZA MPAKA PALE KIWILIWILI CHANGU KITAKAPOPUKUTIKA NA KUBAKI MAMIFUPA.
NITAISHI ARDHINI MABILIONI YA MIAKA MPAKA PALE AHADI YA MUNGU MUUMBA ITAKAPOTIMIA.
HATA NIKIWA NA HALI GANI YA MAISHA... KWAKE MUNGU MUUMBA MIMI NI HOHEHAHE, MCHOVU, MUOMBAJI NA MTEGEMEA BARKA ZAKE NA MSAADA WAKE NYAKATI ZOTE.
KIUKWELIUKWELI SIPO RUDE WALA HARSH KATIKA TASWIRA SAHIHI NA YA UKWELI MAISHANI UKIBAHATIKA KUNIJUA NA KUNIFAHAMU.
LAKINI HUWA NAPATWA NA HASIRA ZA GHAFLA NA HARAKA HASA KWA WASIOELEWA NA HAWATAKI KUELEWESHWA, NDOMANA HUWA NI KINARA WA KURINDIMISHA MATUSI LAKINI HUWA NAJILAUMU SANA BAADAE MAANA MAANDIKO YETU YATAISHI MIAKA MINGI IJAYO MBELENI HATA SISI TUTAKAPOKUWA HATUPO TENA NA WATU WAKIWA WANAPITIA KUYASOMA BASI TUTAMBUE TUNA DHIMA KWA MWENYEZI MUNGU MUUMBA.
JEURI YA PUMZI AU UHAI NDO INATUFANYA WANADAMU TUWE NA KIBURI. TUKIJITAFAKARI NA KUJUA SISI SI KITU BASI HUWA INAUMIZA SANA!
HIYO NDIO MAANA YA JINA LANGU. WAKURUPUKAJI NA WAJUAJI KAMA KINA FaizaFoxy HAWAWEZI KUELEWA, WAO WANAHISI TUMEKATA TAMAA YA MAISHA.
Wewe hata hueleweki unachokiandika. pole sana.Majambia akimuua sio mkristo ana kwenda mbinguni ila muisilamu mwenzake ni mkristo.
Saudia mnatia aibu
Weee senior..Alafu Kuna huyu Poor Brain
Hata lako mkuu😆😆😆😆Duh, huyu sijui wanapasuaje hizo mbao
Habari wanajf
The fact kwamba jf watu wengi ni anonymous, inawafanya wanatumia majina ya ajabu sana.
Kuna majina jf ukiyasoma unaweza cheka, kushangaa au kufikiria sana,
Pongezi kwa wanajf wanaotumia majina yao mawili kama Lukas Mwashambwa leo tuwatag watu wenye majina ya ajabu humu watupe ufafanuzi kidogo mfano.
labia majora
KENGE 01
AKILI TATU
Panzi Mbishi
Nzi Chuma
MFALME WETU
Kijakazi
3 Angels message
Kitimoto
kina kirefu
mdudu
[emoji2][emoji2]hawaniwezi ulimwengu yupoWeee senior..
Takupeleka kule juu ukaungame..[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] kwenye panzia jekundu....
7/12/ ni shidah tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona hamlitaji jina langu nyieWeee senior..
Takupeleka kule juu ukaungame..[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] kwenye panzia jekundu....
7/12/ ni shidah tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Faza moyo....[emoji2][emoji2]hawaniwezi ulimwengu yupo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeee shangazi yenu nipo hapa mbona hamnitajiShangazi
BICHWA KOMWE -
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Tatizo shangazi sometimes una Gubu 😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeee shangazi yenu nipo hapa mbona hamnitaji
wivu ninaoooo, nahitajii kupendwa ATIII [emoji85][emoji85]Tatizo shangazi sometimes una Gubu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sasa aunt... huwo wivu usizidi sana....wivu ninaoooo, nahitajii kupendwa ATIII [emoji85][emoji85]