Kuna baadhi ya WanaJF wana majina ya ajabu na ya kufikirisha sana

Kuna baadhi ya WanaJF wana majina ya ajabu na ya kufikirisha sana

Aisee kenge kaingiaje apo..
Enewei kuna jamaa anajiita Kichwa kichafu kweli ni kichafu kuna uzi anasimulia alivyombandua ndugu yake wa damu kila nikimfikiria simmalizagi.

Mwingine Maharage ya Ukweni wengine ni Afisa uroda,Afisa ubashiri,Afisa usafirishaji..apo bado kuna Chama wa njombe , Aziz Ki wa bonyokwa aafu kuna mwamba anajiita Babaake moderator
Bw Kenge mambo vp [emoji1787][emoji1787], why kenge lkn mkuu??[emoji1]

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Habari wanajf

The fact kwamba jf watu wengi ni anonymous, inawafanya wanatumia majina ya ajabu sana.

Kuna majina jf ukiyasoma unaweza cheka, kushangaa au kufikiria sana,

Pongezi kwa wanajf wanaotumia majina yao mawili kama Lukas Mwashambwa leo tuwatag watu wenye majina ya ajabu humu watupe ufafanuzi kidogo mfano.

labia majora
KENGE 01
AKILI TATU
Panzi Mbishi
Nzi Chuma
MFALME WETU
Kijakazi
3 Angels message
Kitimoto
kina kirefu
mdudu
mkuu, mbona id yangu ya kinyonge sana haikupaswa kuwa kwenye iyo list 😅
 
Vizuri! Maana yangu ni kwamba...

"MIMI SI KITU KWAKE MUNGU MUUMBA HATA NIKIWA NA ELIMU YA KUTOSHA, MAHALA PAZURI PA KULALA, FEDHA, BIASHARA, KAZI NZURI, UZOEFU NA EXPOSURE THABITI NA WIGO MPANA WA KUFAHAMIANA NA WATU AIDHA NDANI NA NJE, KWENYE VITENGO LAKINI YOTE SI KITU.

SIKU MOJA NITAKUWA KAMA GOGO LISILOJIELEWA LENYEWE NI GOGO, SITAZIKWA HATA NA SAA YANGU MOJA YA MKONONI, NITAISHIA KUELEMEWA NA TANI ZA MCHANGA NA NITAGEUKA KUWA CHAKULA CHA MAFUNZA MPAKA PALE KIWILIWILI CHANGU KITAKAPOPUKUTIKA NA KUBAKI MAMIFUPA.

NITAISHI ARDHINI MABILIONI YA MIAKA MPAKA PALE AHADI YA MUNGU MUUMBA ITAKAPOTIMIA.


HATA NIKIWA NA HALI GANI YA MAISHA... KWAKE MUNGU MUUMBA MIMI NI HOHEHAHE, MCHOVU, MUOMBAJI NA MTEGEMEA BARKA ZAKE NA MSAADA WAKE NYAKATI ZOTE.

KIUKWELIUKWELI SIPO RUDE WALA HARSH KATIKA TASWIRA SAHIHI NA YA UKWELI MAISHANI UKIBAHATIKA KUNIJUA NA KUNIFAHAMU.

LAKINI HUWA NAPATWA NA HASIRA ZA GHAFLA NA HARAKA HASA KWA WASIOELEWA NA HAWATAKI KUELEWESHWA, NDOMANA HUWA NI KINARA WA KURINDIMISHA MATUSI LAKINI HUWA NAJILAUMU SANA BAADAE MAANA MAANDIKO YETU YATAISHI MIAKA MINGI IJAYO MBELENI HATA SISI TUTAKAPOKUWA HATUPO TENA NA WATU WAKIWA WANAPITIA KUYASOMA BASI TUTAMBUE TUNA DHIMA KWA MWENYEZI MUNGU MUUMBA.

JEURI YA PUMZI AU UHAI NDO INATUFANYA WANADAMU TUWE NA KIBURI. TUKIJITAFAKARI NA KUJUA SISI SI KITU BASI HUWA INAUMIZA SANA!

HIYO NDIO MAANA YA JINA LANGU. WAKURUPUKAJI NA WAJUAJI KAMA KINA FaizaFoxy HAWAWEZI KUELEWA, WAO WANAHISI TUMEKATA TAMAA YA MAISHA.
Umeongea kwa uchungu 😌 Ila una point
 
Back
Top Bottom