Kuna baadhi ya wazazi wanaishi kwa siri na maumivu makubwa. Wanatamani wawaombe watoto wao msamaha lakini hawajui waanzeje

Kuna baadhi ya wazazi wanaishi kwa siri na maumivu makubwa. Wanatamani wawaombe watoto wao msamaha lakini hawajui waanzeje

Ukweli nakiri kiukweli Mimi Mama yangu aliniacha nikiwa mdogo na akaenda kusoma lakini pia baada ya kurudi sikukaa Sana naye akanipeleka nchi ya Kenya nikaishi na Mama mkubwa tokea nikiwa na Miaka mitatu.Amerudi kuniona nikiwa la tatu na mpaka siku ya Leo napata wakati mgumu kumuita mama.Japo tunaelewana ila Kila nikitaka kumuita mama napata Sana ukakasi naishia kuongea BIla kumuita mama.
 
Mmh huwa unamuita nani sasa
 
Pole sana
Aliugua kwa Muda mrefu akajikuta ni mimi na yeye tuu wengine wako busy... Ilifikia kipindi kalazwa akawa hataki mimi kumuhudumia anataka nibaki home tuu. Yote ni Maisha aliyonipitisha katika makuzi yangu, so nimeuelewa sana huu uzi.

Kama wazazi wa sasa tuna mengi yakujufunza namna ya kuwalea watoto wetu haijalishi kuna changamoto gani tunazozipitia ila watoto iwe ndio kipaumbele cha kwanza.
 
MSISITIZO UWEKWE WATU WAJIZUIE KUZAA HOVYOHOVYO,HAKUNA MAANA UKAWA NA WATOTO USIOWEZA KUWAHUDUMIA KIHISI NA KIPESA.

STAREHE YAKO ISIJE IKAWA MAJUTO NA MAUMIVU KWA SIKU ZA USONI KWA WALE UTAKAOWALETA HAPA DUNIANI.

MWANAUME KAMA HUWEZI KUFUNGA ZIPU,HUWEZI KUJIZUIA KUMWAGIA NDANI, TUMIA KINGA!!!

WANAWAKE KAMA HUWEZI KUBANA MAPAJA,TUMIA KINGA/ TUMIA NJIA YA UZAZI WA MPANGO!!!

#MAJUTO NI MJUKUU🙏,HAKUNA MSAMAA,HAKUNA FAVOUR WALA HAKUNA KITU UTAFANYA KUWEZA KUFIDIA HILO GAPE UTAKALOKUWA UMESABABISHA!!!
 
Aliugua kwa Muda mrefu akajikuta ni mimi na yeye tuu wengine wako busy... Ilifikia kipindi kalazwa akawa hataki mimi kumuhudumia anataka nibaki home tuu. Yote ni Maisha aliyonipitisha katika makuzi yangu, so nimeuelewa sana huu uzi.

Kama wazazi wa sasa tuna mengi yakujufunza namna ya kuwalea watoto wetu haijalishi kuna changamoto gani tunazozipitia ila watoto iwe ndio kipaumbele cha kwanza.
Yote ni Maisha aliyonipitisha katika makuzi yangu, so nimeuelewa sana huu uzi.🥺🤔🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂
 
Mshana Jr huu uzi unafikirisha sana. Lakini pia wengi tuna la kujifunza. Kuna watoto wamelelewa na single mothers na wamefanikiwa sana. Kuna watoto walitelekezwa na wazazi mama au baba au wote, na mwisho wa siku hawa watoto wana mafanikio, one can only dream of. Wengine wamelelewa ndani ya familia ya baba na mama, full walokole..lakini wanaishia kuwa losers. Kuna watoto wengi nawafahamu wamekuwa wa msaada sana kwa wazazi waliowakana.

Lakini kwa uhalisia, wazazi wengi wanakuwa karibu na watoto ambao hawakuwasaidia au waliwakataa kwa sababu za kiuchumi. na watu wa namna hii ukikuta wametoboa, wanatoboa kweli. Mzee au mama anapata wakati mgumu sana. wale aliowekeza kuwasaidia akiwa kwenye ndoa, wamekuwa losers. Yule/wale aliowakataa wakaishi na wajomba au kwingineko...wametoboa. mwisho wa siku huna namna, zaidi ya kujisalimisha upate walau economic support.

Kwa mwanaume, ni fedheha na maumivu makali sana!
 
Mkuu ni ubinafsi ndio uliutujaa, mwanaume anamuacha mwanamke na mtoto kwa changamoto za baba na mama mtoto anaingia kwenye huo moto wakati hausiki
Kwani hii ccm iliyotushika masikio unaionaje,ni sawa na Mzazi aliepata mtoto wa kubaka,wanatumia nguvu nyingi kueneza uongo katika kutetea wizi.
 
Hii thread noma sana...

Mambo niliyopitia udogoni sasa ndo yananiandama.. Nina chuki kali sana kuwaelekea wazazi wangu, mpaka kuna muda nakuwaga suicidal sema basi hakuna namna....
 
Hii thread noma sana...

Mambo niliyopitia udogoni sasa ndo yananiandama.. Nina chuki kali sana kuwaelekea wazazi wangu, mpaka kuna muda nakuwaga suicidal sema basi hakuna namna....
Suicidal tena, unahitaji msaada, elezea wazazi walikufanya nini.
 
Hii thread noma sana...

Mambo niliyopitia udogoni sasa ndo yananiandama.. Nina chuki kali sana kuwaelekea wazazi wangu, mpaka kuna muda nakuwaga suicidal sema basi hakuna namna....
Waache kama walivyo wewe songa mbele wala usije ukajidhuru! Kuna mizazi mitakataka kabisa! Kwangu nina dogo nilikuta ana miezi nimeishi naye kwa upendo mkubwa sana wala sikuhisi kutindikiwa! Wala yeye hajawahi kuhisi anajua kabisa mimi ni babake wala sina kinyongo naye! Nimemsomesha na sasa ana kazi yake! Asante Mungu kwa ajili yake na sitamdai chochote!
 
Waache kama walivyo wewe songa mbele wala usije ukajidhuru! Kuna kizazi mitakataka kabisa! Kwangu nina dogo nilikuta ana miezi nimeishi naye kwa upendo mkubwa sana wala sikuhisi kutindikiwa! Wala yeye hajawahi kuhisi anajua kabisa mimi ni babake wala sina kinyongo naye! Nimemsomesha na sasa ana kazi yake! Asante Mungu kwa ajili yake!
So hamjamwambia kuwa wewe Siyo baba yake?
 
So Sad tena painful memory it comes pale unajikuta una mtoto/watoto the way unavowapa mapenzi ya dhati ambayo ukifikilia wewe uliyakosa kwa kuishia kula vipigo na manyanyaso bad enough mzazi badala ya kutengeneza bado anazidi kubomoa kwa kutoa dissapointment words and use time to complain instead of loving and inspire wanasahau mtoto kwa mzazi hakui we still need love from them no matter how older we are BUT what to do ndo wazazi wetu tena, SOMETIMES kuna muda unajiuliza au mimi ndo nina shida coz huhisi msukumo wowote ndani wa kumtafuta mzazi hata kumsalimia lakini jibu linakuja ni kutokana na kukosa BONDING of love since childhood, Mtoto wa kunzia miaka 3-4 anauwezo wa kukumbuka matukio ya maumivu pale napokuwa mkubwa so wazazi wajitahidi sana kuwaonesha watoto upendo wakiwa wadogo na hata akikosea jitahidi kutafuta njia sahihi ya kumrekebisha na si kumtesa kwa kusema unamkomaza Ts REALLY BAD.
🫡🫡
 
Dah nimeandika comment ndefuu ya kufarijiana lkn nimefuta nimeiona kama haifai, ila tunapaswa kujua tunaishi kwenye Dunia inayo chukua njia yake kutokana na asili we can't change our fate(Sijui niiwekeje hii ili nieleweke). Samehe maisha yaendelee, ngoja niishie hapa japo Nina mengi ya kusema.
Sahihi
 
Back
Top Bottom