Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

kwamba wanya pombe wanatoa harufu mbaya? :pedroP:

pombe haijawahi kua na harufu mbaya kwa mnywa pombe ispokua kwa asie kunywa ni kero gentleman...
hata hivyo,
kunywa spirit au impotred beer pekee, maana yake umeona vinywaji vingine havikupi burudani au unafanya hivyo kwa sababu za kiafya, prestige au ushauri wa kitabibu.

vinginevyo mlevi hachagui pombe.
Kwaio hata zile za kienyeji anakunywa COMMON☺️😊

Kuna pombe za ndizi zinaitwa banana zinauzwa Bei ya soda Ila kutokana na ndizi zinavyo zidi kukaa na alcohol persistence inazidi kuongezeka yaani UNAWEZA UKANYWA LEO JIONI UKAAMKA UMELEWA SIKU NZIMA.

Zipo Moshi pia mwanza zipogo
 
Kwaio hata zile za kienyeji anakunywa COMMON☺️😊

Kuna pombe za ndizi zinaitwa banana zinauzwa Bei ya soda Ila kutokana na ndizi zinavyo zidi kukaa na alcohol persistence inazidi kuongezeka yaani UNAWEZA UKANYWA LEO JIONI UKAAMKA UMELEWA SIKU NZIMA.
Dr kuwa makini na pombe zinazotengenezwa na sisi wamatumbi hasa hizi kali.
 
ndiyo maana wanaume hufa mapema, sifa za kijinga. Figo, ini na moyo wa mwanaume uko sawa tu na vya mwanamke
SIYO SIFA ZA KIJINGA, NI PROVEN BY SCIENCE, Here are the recommended drink limits: One standard drink is equivalent to: Female: No more than 1 drink in a single day and no more than 7 drinks per week. Male: No more than 2 drinks in a single day and no more than 14 drinks per week(WHO et al), why the difference between gender?- The liver weighs 1200 to 1400 g in the adult woman and 1400 to 1500 g in the adult man. Most of the ethanol in the body is broken down in the liver by an enzyme called alcohol dehydrogenase (ADH)
 
Dah mnabeti sana maisha bro😆
Kunywa kiasi..Kuna jamaa akilewa anageuka kutoa ahadi za pesa , connection za kazi 😀☺️😊 kesho akikumbushwa hakumbuki kitu yaan mtu
Anakunywa mpaka anasahau mlango,kujikojolea, kutapika, anasahau kafikaje nyumbani au hakumbuki Mara ya mwisho alikua wapi na nani
 
Hilo ni kawaida sana kwa sisi walevi ila tunachukuliana tu bwashee
 
Back
Top Bottom