Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

Hiyo ni mitazamo tu kwa sababu bia zote za light kwa sababu zina kilevi kidogo na laini zinachukuliwa ni za kike.

Na zile zenye kilevi kikubwa na nzito lagers zinachukuliwa ni za kiume .

Ila mtu yeyote anaweza tumia bia yoyote tu kulingana na matakwa yake.
ndiyo maana wanaume hufa mapema, sifa za kijinga. Figo, ini na moyo wa mwanaume uko sawa tu na vya mwanamke
 
Back
Top Bottom