Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?

Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
Kwani haujawahi kusikia au kusoma bidhaa imeandikwa 'for men' au 'for women' au 'unisex'?
 
Ukimkuta demu Ana la konyagi kadogo pembeni IPO Safari lager...hata kumtokea inabidi ujipange...huyo NI mwanamke wa shoka
 
Huku mwanza kuna banana za pawa na ndume a.k.a myumbo wa kutosha, kuna jamaa yangu ni mwanajeshi tabora msange huwa namtumia yaani nanunua kreti kama nne za pawa afu nafungua chupa zote na kisha nazimimina kwenye chupa la maji la Kilimanjaro yale ya litre 18 kisha namtumia kwenye basi.Anasema banana pawa ni nzuri sana maana zinalewesha haraka na hazina hangover na zaidi haziathiri figo na maini.MAUA YAO WAPEWE WAZALISHAJI WA BANANA ZA PAWA NA NDUME ZA MWANZA
Haaahaa 😊 jamaa unafanya technology kubwaaa.. natural beer🍺
 
Back
Top Bottom