princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Aina ya pombe "beer" sinawahi kuielewa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku mwanza kuna banana za pawa na ndume a.k.a myumbo wa kutosha, kuna jamaa yangu ni mwanajeshi tabora msange huwa namtumia yaani nanunua kreti kama nne za pawa afu nafungua chupa zote na kisha nazimimina kwenye chupa la maji la Kilimanjaro yale ya litre 18 kisha namtumia kwenye basi.Anasema banana pawa ni nzuri sana maana zinalewesha haraka na hazina hangover na zaidi haziathiri figo na maini.MAUA YAO WAPEWE WAZALISHAJI WA BANANA ZA PAWA NA NDUME ZA MWANZAKwaio hata zile za kienyeji anakunywa COMMON☺️😊
Kuna pombe za ndizi zinaitwa banana zinauzwa Bei ya soda Ila kutokana na ndizi zinavyo zidi kukaa na alcohol persistence inazidi kuongezeka yaani UNAWEZA UKANYWA LEO JIONI UKAAMKA UMELEWA SIKU NZIMA.
Zipo Moshi pia mwanza zipogo
Bingwa zipo mbona ziko sokoni,zimerudi aisee,huku kwenye baa za mwanza huwa nazionaHizi kwa Sasa hazipo TZ ilikuaga miaka ya 90's
Enzi izo Kuna tangazo kwenye ledio linasema
BINGWA AMEINGIA BINGWA...NANI BINGWA...BINGWA AMEINGIA BINGWA 😊☺️
GEN Z hawawezi kuijua hii
Hamu ya kuliwa shimoni ? Hizo zinasababisha muwasho kwenye mashimo mamaWe kaka wewe,Mungu anakuona
Kwani mwanaume hana hamu?
Bro nimetumia several times mpaka now sinywi hizo vitu now just nikiwa na budget napiga zangu Mabinamu wanne (four cousins) basi maisha yanaendaJaribu af Fanya uwezalo niwe karibu yako
Kaka zangu wa mwanza wanapenda BALIMI😂Bingwa
Bingwa zipo mbona ziko sokoni,zimerudi aisee,huku kwenye baa za mwanza huwa naziona
Mbona nikiwanunulia mademu Huwa wanasumbua tukalale ati wana hamu na fc liboloBro nimetumia several times mpaka now sinywi hizo vitu now just nikiwa na budget napiga zangu Mabinamu wanne (four cousins) basi maisha yanaenda
Wanawazimu tu😅Mbona nikiwanunulia mademu Huwa wanasumbua tukalale ati wana hamu na fc libolo
Achana nayo Bingwa ni moto mwingine..Nili kunywa 8 Siku ya pili, sikula chochote Budah..Kule Kanda ya kusini Kuna bia inaitwa bingwa,Ina alcohol 7,nadhani katika larger zote hii ndo ya kiume!!!
Yap,kanda ya ziwa yote huwaambii kitu kuhusu bia ya balimi na mdogo wake EAGLE yaani hizo ndio bia za kanda ya ziwaKaka zangu wa mwanza wanapenda BALIMI😂
Ongezea Desperado hapo kwenye hiyo list.Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?
Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
Jiulize kwa nini mwanamke kwa siku anatakiwa anywe bia moja ila mwanaume mbili?Hiyo ni mitazamo tu kwa sababu bia zote za light kwa sababu zina kilevi kidogo na laini zinachukuliwa ni za kike.
Na zile zenye kilevi kikubwa na nzito lagers zinachukuliwa ni za kiume .
Ila mtu yeyote anaweza tumia bia yoyote tu kulingana na matakwa yake.
🤣🤣🤣🤣🤣Hasa dume zima unakunywa desparado upo desparate na nini?
Ndio.Desparado nayo mnaihesabu ni ya kike?!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uchagan hizo wanaita juice za kuchanganyia na Kvant au Konyagi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo shoga
Balimi 5.8Sijajua ila haizidi 5 Ile,mi huwa natumia safari,na nkiwa kusini huko napiga hiyo bingwa,tofauti na hapo nakuwa napiga kvant TU nachoma maini!!!