Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

Kwaio hata zile za kienyeji anakunywa COMMON☺️😊

Kuna pombe za ndizi zinaitwa banana zinauzwa Bei ya soda Ila kutokana na ndizi zinavyo zidi kukaa na alcohol persistence inazidi kuongezeka yaani UNAWEZA UKANYWA LEO JIONI UKAAMKA UMELEWA SIKU NZIMA.

Zipo Moshi pia mwanza zipogo
Huku mwanza kuna banana za pawa na ndume a.k.a myumbo wa kutosha, kuna jamaa yangu ni mwanajeshi tabora msange huwa namtumia yaani nanunua kreti kama nne za pawa afu nafungua chupa zote na kisha nazimimina kwenye chupa la maji la Kilimanjaro yale ya litre 18 kisha namtumia kwenye basi.Anasema banana pawa ni nzuri sana maana zinalewesha haraka na hazina hangover na zaidi haziathiri figo na maini.MAUA YAO WAPEWE WAZALISHAJI WA BANANA ZA PAWA NA NDUME ZA MWANZA
 
Walevi msiache pombe mkiacha huku mtaani tutakosa watu wa kuwadharau
 
Bro nimetumia several times mpaka now sinywi hizo vitu now just nikiwa na budget napiga zangu Mabinamu wanne (four cousins) basi maisha yanaenda
Mbona nikiwanunulia mademu Huwa wanasumbua tukalale ati wana hamu na fc libolo
 
Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?

Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
Ongezea Desperado hapo kwenye hiyo list.
 
Mimi hiwa nashangaa kuona mwanaume anakunywa safari.

Mwanaume unataliwa utumie pombe kali. Haya mabia waachieni akina dada.
 
Hiyo ni mitazamo tu kwa sababu bia zote za light kwa sababu zina kilevi kidogo na laini zinachukuliwa ni za kike.

Na zile zenye kilevi kikubwa na nzito lagers zinachukuliwa ni za kiume .

Ila mtu yeyote anaweza tumia bia yoyote tu kulingana na matakwa yake.
Jiulize kwa nini mwanamke kwa siku anatakiwa anywe bia moja ila mwanaume mbili?
 
Back
Top Bottom