Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

Na sisi tunaokunywa wine kuepusha kitambi bia zinaleta kitambi acha
Mimi na kitambi Cha kuvalia suti na kuchomekea na sinywi bia Wala wine nakunywa spirit Ila namix na tonic water au juice kunywa dry siwezi ukichanganya na ukwaju pia unapata Radha nzurii

Sijawai kuzoea kunywa mavitu machungu mpaka Sasa sijaweza kutumia vitu vichuguu

Smirnoff black ice ni nzurii kuchanganyia.
 
Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?

Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
any LIGHT beer, is for women, minors, and beginner's :3Dance:
 
Walianzia kwnye Perfume na Body Spray ukienda Dukani unachagua unachagua unakutana na perfume nzuri au spray nzuri harufu imetulia

Muuzaji anakwambia "YA KIKE HIYO" namuuliza mbona sisikiii harufu ya K naskia harufu ya maua mazuri?

Unatafuta zingine anakupa list hizi za kike hizi za kiume ukitaka kujua kwann imeitwa ya kike au yakiume HUELEWI.

Nimeshasemaga ntanukia vile PUA zangu zinanituma Ninukieje.

SAsa Hivi mmekuja kwenye beer, Nasema tena Ntakunyaa FLYING FISH na BEER zote lite kadri siku ntavyojoskia.

Hii nchi usipoangalia utaambiwa hata hela kuja za kike na za kiume, vitu viNA Jinsia siku hizi.

Hadi magari watu washaanza yavalisha PEDI nunua PASSO au PORTE uone balaa utatamani ungenunua BAJAJI au KIRIKUU
 
Daa umenikumbusha huyu MWAMBA aisee, sijui kapotelea wapi.
Screenshot_20250204-142159.jpg
 
Hii nchi usipofata mambo yank ukawa unaenda wanavyotaka unaweza ukajikuta unakula UGALI TEMBELE kila siku kwa kuogopa ukila wali utaitwa WAKIKE.
 
Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?

Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!

KWANZA KABISA TUIPONGEZE BIA YETU KWA KUWA NA UMRI WA KUTOSHA KABISA TANGU IZINDULIWE MWAKA 1977, Feb. 4.

Safari Larger 4 Feb 1977.jpg
 
Back
Top Bottom