Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?

Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
Ni kama mwanamke kuagiza safari huyo ni mlevi concord
 
Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?

Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
Huyo shoga
 
Wengi wanaokunywa hizo wana tabia za kike kike.
 
Zipo mkuu, kuna vitu wanaume hatuwezi kufanya ila wanawake wanafanya, kuitana dear, honey, darling..hawa watu wanaitana tena wazi. Jaribu wewe kidume kumuita mwenzako dear uone.
Screenshot_20250204_122727_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom