Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

Watu wanawezaje kunywa safari zaidi ya mbili na zile kubwa?. Anyway, hii Bora kuliko pombe Kali.

Kwa vijana siku hizi kunywa beers imekuwa kama kuchezea hela maana wanadai hata hawalewi na badala yake wamehamia kwenye pombe Kali, vijana wanaharibika kisa eti ili waonekane wanaume🤔
 
Watu wanawezaje kunywa safari zaidi ya mbili na zile kubwa?. Anyway, hii Bora kuliko pombe Kali.

Kwa vijana siku hizi kunywa beers imekuwa kama kuchezea hela maana wanadai hata hawalewi na badala yake wamehamia kwenye pombe Kali, vijana wanaharibika kisa eti ili waonekane
Kaka kuna pombe kali zina viwango bora ukizingatia mlo maji ya kunywa na mazoezi pombe kali ni bora kiafya kuliko bia naona hivyo.
 
Hiyo ni mitazamo tu kwa sababu bia zote za light kwa sababu zina kilevi kidogo na laini zinachukuliwa ni za kike.

Na zile zenye kilevi kikubwa na nzito lagers zinachukuliwa ni za kiume .

Ila mtu yeyote anaweza tumia bia yoyote tu kulingana na matakwa yake.
Sio kweli
 
Sasa kidume utakunywaje Savana, flying fish na reds
Wakati unajua hizo bia zinaongeza nyege na muwasho Kwa mademu.
Mtakuja mfanyiwe vibaya
Smirnoff black ice ipo kundi gani
Screenshot_20250204-124510.png
 
Kwa nini wanaume wanaokunywa bia za Savannah, Redd's na Flying Fish wanatazamwa vibya au kutaniwa?

Hizi tabia nimeziona kwenye hizi bar za kati na changanyikeni. Mwanaume akiagiza hizi bia kwenye hizi bar hata muhudumu anamuuliza mara mbili mbili kuthibitisha kama amesikia vizuri alichoagizwa!
Kunywa konyagi au double kicki...
 
Back
Top Bottom