Kuna bia za kike na za kiume?

Kuna bia za kike na za kiume?

Wadada wa kaskazini hawapangiwi cha kunywa
Utamkuta anapiga zake safari kubwa au kilimanjaro kubwa
Akikaa kidogo ataagiza pilsner ice au castle lager
Wale wa Kanda ya ziwa akiagiza zake balimi fresh kabisa

Njoo dar sasa
Umkute mkaka wa kino anakunywa zake u fresh au desperado au flying fish...hadi matangazo ya hizi beer ni wakaka wanafanya...🤣
 
Mada ya walevi naona inazidi kushika kasi😁..em nikaagize zangu valuu kubwa mie nishuke nayo mdogo mdogo
 
Yoda God of fortune..hivi hujui Yale magari ya kupeleka watalii mbugani maarufu kama warbus(land cruiser) yamefungwa injini za coaster?
 
Wisky sijui beer na wine??? Wanaume wanakunywa petroli bana.
 
Ushamba tu unakuwa umewajaa. Kwanza Savannah siyo beer. Ni Cider, kuna mbadala gani mwingine kwa mtu anayetaka kunywa cider? Mwingine anakunywa Reads sababu hataki Lager anataka Ale.
 
Ushamba tu unakuwa umewajaa. Kwanza Savannah siyo beer. Ni Cider, kuna mbadala gani mwingine kwa mtu anayetaka kunywa cider? Mwingine anakunywa Reads sababu hataki Lager anataka Ale.
Wabongo hawajui hata hayo mambo ya cider, lager na ale.
 
Sasa kidume utakunywaje Savana, flying fish na reds
Wakati unajua hizo bia zinaongeza nyege na muwasho Kwa mademu.
Mtakuja mfanyiwe vibaya
😂 Wongo, mbona mimi huwa hazinifanyi kitu, akili ya mtu tu
 
Back
Top Bottom