Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Mkuu Mimi mzee wangu alijiona anaweza kunilea ndio maana sio mtoto wa nje ya ndoaWewe wangekutoa ungepata nafasi ya kuandika huu ujinga wako.
Shida nini mkuu mbona matusiKumanyoko zoko pimbi WEWE. Miaka 28 unajutafuta ujiweke kidole au....? Mpuuzi kabisa .,.. maskini panya mkubwa.
Mkuu atanisamehe ila sipo tayari kuwa na kiumbe tegemezi Kwa sasa maisha ya tanzania magumu mkuu sio mchezoMuda mwingine tukiacha utu uzima, basi tutumie ubinadamu kuamua jambo.
kwa mama anaye beba mimba, lile sio tumbo lenye upepo kile ni kiumbe hai, kama sio uhai.
Sasa simple like that, una mwambia toa, eish hujui uchungu wake.
Tuwahurumie muda mwingine, maisha hayaki hivyo.
Sasa haya mambo mli paswa muwekane wazi kabla ya kutiana, hii isinge fika huku.Mkuu atanisamehe ila sipo tayari kuwa na kiumbe tegemezi Kwa sasa
Mkuu Mimi namuambia atoe mapema yeye anasema atazaa halafu aniletee mtoto nimuue Kwa mikono yangu unaona huyu mwanamke yupo sawaSasa haya mambo mli paswa muwekane wazi kabla ya kutiana, hii isinge fika huku.
simlaumu mtu maana ana weza pia kubeba kwa makusudi ili aku trap, ila tumia utu kuamua.
Kuna binti Jana kaniambia anamimba yangu aisee nimestuka nikatamani nimpasue Mimi ndio kwanza najitafuta miaka yangu 28 na tanzania maisha ni magumu kila siku yanazidi kuwa magumu anataka kuniletea matatizo aisee halafu kibaya nimemuambia atoe anasema nisubiri ajifubgue anileteee mtoto nimuue hivi huyu mwanamke ananichukuliaje aisee Nina mawazo makali sana mda huu
Wakati unamwagia ndani hukujua kama bado unajitafuta?Kuna binti Jana kaniambia anamimba yangu aisee nimestuka nikatamani nimpasue Mimi ndio kwanza najitafuta miaka yangu 28 na tanzania maisha ni magumu kila siku yanazidi kuwa magumu anataka kuniletea matatizo aisee halafu kibaya nimemuambia atoe anasema nisubiri ajifungue aniletee mtoto nimuue hivi huyu mwanamke yupo sawa kichwani kweli ananichukuliaje aisee Nina mawazo makali sana mda huu
Mkuu Mimi Sina shida na mtoto yaani majadiliano yote mwisho mimba itolewe tu mkuu Nina mambo mengi ya kutimiza kimaiaha mkuu swala la kulea mimba mtoto azaliwe kwangu ni mwiba mkaliHii hali inaonekana imejaa presha na hasira kutoka pande zote mbili. Ni kweli binti ana haki ya kuamua kubeba mimba, lakini kauli ya kusema ataleta mtoto ili aumizwe si ya kuchukuliwa kirahisi.
Kwa upande wako pia, ni muhimu kutambua kuwa mimba ikishatokea tayari kuna responsibility ambayo haiwezi kukimbika kwa hasira au hofu.
Pengine suluhisho hapa si kulumbana, bali kutafuta namna ya kuzungumza kwa utulivu na kufikia maelewano yatakayolinda maisha na mustakabali wa mtoto anayekuja.
Kwa sababu mwisho wa siku, mtoto hana kosa katika haya yote. Halafu uwe na ubinadamu unajua kuwa kutoa mimba (abortion) ni kuuwa? Acha Uswahili wa kudai unajitafuta kijana
Huwezi amini mkuu kaja getto kakaa nje Leo asubuhi mpaka mda huu mshikaji wangu ananiambia yupo nje ananiaubiriMteme mkuu na useme humjui,hujawaikumuona na akazae kwao pumbavu zake na ublock chap