Kuna binti anasema ana mimba yangu lakini sijajipanga. Nifanyeje?

Kuna binti anasema ana mimba yangu lakini sijajipanga. Nifanyeje?

Humu ndani pagumu sana 28 bado unajitafuta!!!Btw qmnina zako acha ungese wa kutoa hiyo mimba
downloadfile-1.jpg
 
Kuna binti jana kaniambia ana mimba yangu aisee nimestuka nikatamani nimpasue

Mimi ndio kwanza najitafuta miaka yangu 28 na tanzania maisha ni magumu kila siku yanazidi kuwa magumu

Anataka kuniletea matatizo, halafu kibaya nimemuambia atoe anasema nisubiri ajifungue aniletee mtoto nimuue hivi huyu mwanamke yupo sawa kichwani kweli ananichukuliaje

Nina mawazo makali sana mda huu
Hongera baba kijacho
 
Mkuu Mimi namuambia atoe mapema yeye anasema atazaa halafu aniletee mtoto nimuue Kwa mikono yangu unaona huyu mwanamke yupo sawa
yupo fresh fit kali kiti kaa mbwa wa kituo ya polisi
fit mentally and. physically
je wewe unaona sawa kuua kupata laana ambayo itafanya maisha yawe magumu zaidi?
 
watoto wanaozaliwa nje ya mpango wa wazazi huwa wanapitia changamoto lakini ni mpango wa Mungu kuwatumia huko mbele,baadae wakishakua wa kubwa na wana maisha mazuri utaanza kujisogeza ni aibu
kabisa hajui Kama huyo mtoto ndie msaada baadaye
 
Mbona kama wewe ndo haupo sawa kiakili?! Kwani mlivyokuwa mnatiana hukuwa unajua kuna kupeana ujauzito?? Idiot!
 
Wana JF kuna muda mna busara sana 🤣

Ukweli ni kwamba kama jamii tusiposhikana mashati tutaendelea kuharibu, accountability ni lazima kwenye kila kitu.

Na huyo mama kijacho umlete hapa tumfinye masikio ajifungue apambane mlee mtoto, shenzi nyie.
 
Back
Top Bottom