Kuna binti anasema ana mimba yangu lakini sijajipanga. Nifanyeje?

Mkuu Mimi Sina shida na mtoto yaani majadiliano yote mwisho mimba itolewe tu mkuu Nina mambo mengi ya kutimiza kimaiaha mkuu swala la kulea mimba mtoto azaliwe kwangu ni mwiba mkali

Mkuu unasema huna shida na mtoto, lakini wakati huo huo unasema lazima mimba itolewe—hapo tayari kuna mgongano wa hoja zako mwenyewe.

Kila mtu ana mipango ya maisha, lakini ukweli ni kwamba matokeo ya maamuzi huwa hayaulizi kama uko tayari au la. Mimba ikishatokea tayari kuna reality mpya ambayo haiwezi kufutwa kwa kusema tu sasa si muda wake.

Pia ni muhimu kukumbuka kuwa hili si uamuzi wako peke yako, mwanamke tayari ameonesha msimamo wake.

Hivyo badala ya kusisitiza kitu ambacho hakipo tena kwenye uwezo wako kuamua, pengine ni busara zaidi kuanza kufikiria namna ya kukabiliana na hali halisi kuliko kuikataa.
 
Wakati unamwagia sperm zako uliwaza Nini?
Utavuna maembe au?
Lea mimba hiyo.na kama huijui dhoruba ya mwanamke utaijua vizuri this time.na hata ukimtelekeza bado atakua baadae uanze kumtafuta
Huwezi amini mkuu kaja getto kakaa nje Leo asubuhi mpaka mda huu mshikaji wangu ananiambia yupo nje ananiaubiri
 
Apa pagumu
Hakuna ugumu ni complications anazotengeneza mleta mada.

Nimeshamchana kuwa anatakiwa kuwa responsible zaidi sana aongozwe na ubinadamu, miaka 28 ni umri wa kuwajibika asikwepe majukumu.

Hawa ndio wale unakuta kuna mwanamke mwingine alishamuhaidi sasa hapa katikati linatokea asilotarajia.
 
Mlete kwangu nikusaidie kumtunza na kuandaa mapokezi ya kiumbe ajaye.
 
Mkuu, kwani ulipokua unafanya bila kinga ulitegemea matokeo gani?
 
Muue tu
 
Nlishapita situations kama hizi na ikitokea kwa mwanamke ambaye hukua na future naye kuna namna unapata stress sana, haya yaliwahi mtokea nguli wa soka duniani Cristiano ronaldo ila yeye hakupanic alichofanya alimficha mama wa mtoto wake wa kwanza mpaka leo hajulikani
Usikatae mtoto mkuu
 
Na ukweli mzee Sina future na huyu demu kama kanifanyia makusudi
 
wakati unamwaga ndani hukujua bado hujajipata
 
Wakati unamtomba na kumkojolea ndani ulikuwa unategemea matokeo gani siku za baadae.
 
Wakati mkipigana miti hamkutushirikisha tuwashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…