Kuna binti anasema ana mimba yangu lakini sijajipanga. Nifanyeje?

Hongera baba kijacho
 
Mkuu Mimi namuambia atoe mapema yeye anasema atazaa halafu aniletee mtoto nimuue Kwa mikono yangu unaona huyu mwanamke yupo sawa
yupo fresh fit kali kiti kaa mbwa wa kituo ya polisi
fit mentally and. physically
je wewe unaona sawa kuua kupata laana ambayo itafanya maisha yawe magumu zaidi?
 
watoto wanaozaliwa nje ya mpango wa wazazi huwa wanapitia changamoto lakini ni mpango wa Mungu kuwatumia huko mbele,baadae wakishakua wa kubwa na wana maisha mazuri utaanza kujisogeza ni aibu
kabisa hajui Kama huyo mtoto ndie msaada baadaye
 
Mbona kama wewe ndo haupo sawa kiakili?! Kwani mlivyokuwa mnatiana hukuwa unajua kuna kupeana ujauzito?? Idiot!
 
Wana JF kuna muda mna busara sana 🤣

Ukweli ni kwamba kama jamii tusiposhikana mashati tutaendelea kuharibu, accountability ni lazima kwenye kila kitu.

Na huyo mama kijacho umlete hapa tumfinye masikio ajifungue apambane mlee mtoto, shenzi nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…