Kuna binti nampenda ila sioni future naye, ila pia sitaki kufanya 'hit-and-run'. Kukwepa kumuona siwezi. Nifanye nini?

Sijasema mm mkuu angalia vizuri Aliyesema apo ni covid 19
Shida ilianzia hapa...

Badala awahudumie wazazi anahudumia mwanamke
....
UsitushUghulishe...sawa....?
Kafie mbele
 
Your day going so far looking forward for job change in plans and will not make the update on your dad and mom ok....
 
hizi zikiandikwa kwa kiingereza zinachekesha😅

jilipue tu, hata mkija kuachana ni bora kuliko kumtamani hivyo, unateseka zaidi

halafu hata akikukataa utapata amani, utatulia

kwa lugha yako wanasema 'can't blame a guy for trying'
 
Ana utu na utulivu?
Una ndoto naye je yeye ana ndoto na wewe?
Subiri awe na hela then uone kama wewe ni boy dream wake...
Mkuu actually nina ndoto nae, nisijue yeye na sijachukua hatua japo niliwaza kumuomba outing....japo moyo wangu upo cross roads kingne sipo financially stable sasa nawaza what to do nitoke hapa crossroads..
 
Mkuu haujasoma uzi wangu vzur sijamuhudumia hata kdogo na nimesema sijachukua hatua yoyote kumuelekea na kuhus wazaz haujui kinachoendelea... ni mambo ya aibu ambayo hata siwez kuweka hapa.. kama familia yenu mko sawa shukuru Mungu.
 
Asa ukweli tusisemee...
Hakupost anapost meme...
Sa si bora umteme...
Ukazane kusaka mapene...

Andika kwa kiswahili
 
Mkuu haujasoma uzi wangu vzur sijamuhudumia hata kdogo na nimesema sijachukua hatua yoyote kumuelekea na kuhus wazaz haujui kinachoendelea... ni mambo ya aibu ambayo hata siwez kuweka hapa.. kama familia yenu mko sawa shukuru Mungu.
Hata kama mzazi ni mzazi
 
Ni nyege tu ,unafikiri Kuna lolote basi tafuta mchuchu shinda naye siku nzima uone Kama utaendelea kuwaza hizo dhambi zako
 
Kumbe we Katili hivi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…