Hapa ndo uliposema....kwani huduma hizi ni huduma gani kwann usiwape wazaz wakoi...CONTINUED...
Nimewaza nisitishe huduma kwao labda kwa muda nisimuone lakini naona huu si uamuz mzuri...
Wakuu I feel stuck, jana usiku sijalala coz of this..
Ushaur wenu utakuwa greatly appreciated...
N.b: I dont simply want to sleep with the girl, i have a deep longing for her.... .
Mimi Tena...?Kumbe we Katili hivi!!
Achana na hayo nifundishe kuiweka nyuzi kama ulipofanya apo juuMimi Tena...?
Ndiooo...Sasa uliposema unataka kusitisha huduma ulimaanisha nini...?Hv kuna mahali nimesema nahudumia?? ni wapi nisaidie kupaona.
Nakupa tu ushauri, usiendekeze mapenzi ya kupostianaMkuu umemaanisha nn?
Mkuu nadhani n mtazamo wangu from what i know kumuhusu yeye n graduate na anangoja kazi, yupo anatafuta... kingne mm n mtu wa mtaani japo kazi ya kukidh mahtaj yangu ninayo...Hebu nikuulize swali, nini kinafanya unaona huwezi fanya future nae?
Mpambano huu huwa ni mkali!Hisia na akili ni contrasting things. Mara nyingi hisia zikishinda akili matokeo yake sio mazuri. Wews unaendeshwa na mihemko tu usipoifanya akili yako ifanye kazi ndio hivyo tena.
Emotions zisi-override logical common sense.
Sio kweliAaaah mkuu nina biashara ninawapelekea ndio huduma ya kibiashara ninayotoa kwao.. wao ni wateja wangu,.
Nielekeze kuleta uzi kwenye uzi mwingn bhnSio kweli
Upo kama mie....kuna binti nampa dishaga bodaboda kila leo namtamani kinoma binti mstaarabu ila dah ndio hivyo mie bodaboda yeye mtoto wa benki sasa sijui nifanyaje...nilishampigia nyeto mpaka nimechokaWakuu natumai nyote hamjambo...
Kwanza kabisa nipende kusema jukwaa hili naliona kama familia, kiukweli najihsi huru kuweka my concerns hapa kuliko kuzungumza na mtu, ndio sababu nalileta hili hapa,.
Wakuu recently nimekuwa na strong feelings of love to a girl I meet on a daily basis, sasa tatizo sioni kama we can make a future together na sikutaka kufanya hit and run to this particular girl.. Pia my conscience tells me not to pursue her, despite all this bado ninampenda. Kumkwepa nisimuone ni ngumu cos napeleka huduma kwao kila siku.
Unataka ulete nini...?Nielekeze kuleta uzi kwenye uzi mwingn bhn
We nipe maelekezo unafanyaje maana sijui hiyo tuUnataka ulete nini...?