Kuna binti nampenda ila sioni future naye, ila pia sitaki kufanya 'hit-and-run'. Kukwepa kumuona siwezi. Nifanye nini?

You love that girl right? Well, the discussion ends right there. What happens in the future is unknown to everyone, why not let it be unknown, dont draw conclusions right away...

Remember: Life has an amazing way to surprise you...

Usiache kazi yako ya ku-supply hiyo huduma ya biashara kwao, utakula nyasi? Muelezee hisia zako.
Stay happy in the present, eventually your present turns out to be the future..!
 
Hujamuia bado ,unaogopa kumuacha sasa ukimuoa utaweza kumuacha kweli...


"Walio makini wanajifunza kulingana na makosa, wasio makini hawachukui hatua yoyote" Anasema Ezden Jumanne
Sjakuzoea hivi🀣
 
Thanks mkuu... I will ask her out... Then see where the waters will take me...
 
Wakuu recently nimekuwa na strong feelings of love to a girl I meet on a daily basis,
Kwa hiyo tukushauri kwa lugha ipi Mr Swanglish? Kwa sababu love kwenye daily basis Yako na strong feelings...
 
Ukiweka picha yake tunaweza kukushauri vizuri
 
Hii ni libido
 
Hiii situation ipo kwangu pia, sema mimi ninafanya nae kazi Yule bibie….
Najishauri nipige nipite hivi au nitunze Heshima yetu Mimi na yeye,,,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kwa ushauri pita nae mkuu kesho hatuijuiβ€¦πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mie kila leo nanyetuka tuu...demu mzuri alafu mpaka sasa kwa u-fbi wangu naona hana mtu. Shida sasa udomo zege alafu ndalama za manati
Yaan hapo kama ni mimi duuh maana huwa sina subira
Halafu ukinicheki sina issue but nina confidence ya kijinga yaani ile unaona % za kufanikiwa ni 0.005 lakini bado naingia hivyo hivyo. Ajabu sasa katika 20 lazima nature ikuletee walau wawili kwa interval hata ya miaka kadhaa but siachi kurusha ndoano
Halafu niko serious kinoma
Sijawahi kujic5hukulia kama pesa ndio itanifanya nimpate mwanamke so huwa namface kwanza tunaanza kubiringishana
 
Kuwa mbwa wa mama Samia, anza kumbwekea.
 
We endelea na vingereza vyako wahuni wanaendelea kujilia, shauri zako
 
Mie domo zege nategeme pesa kutongoza
 
Nitumie picha yake n namba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…