Kuna binti nipo naye kwenye mahusiano, kumbe ana mwanume mwingine na wana miaka 5 kwenye mahusiano

Kuna binti nipo naye kwenye mahusiano, kumbe ana mwanume mwingine na wana miaka 5 kwenye mahusiano

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
976
Reaction score
1,712
Hlw

Nipo nae tangia mwaka juzi, nilimtongoza akanikubalia nikaanza kuhudumiana naye kama girlfriend wangu na alinambia yupo chini ya uangalizi na wazazi wake so alikuwa akiishi kwao

Nikimuhitaji nampata na tunakesha kesho yake anarudi kwao

Jana nampigia simu anapokea jamaa yake huku analia na ananilalamikia namgongea ni analia machozi kabsa na anadai wapo kwenye mahusiano miaka mitano sasa, nikamuuliza she yupo wap? Kanambia amelala nikamsihi asimdhuru

Sasa alikuwa anakula sehemu 2, tofauti

Jamaa anasema kinachomuumiza zaidi chati zetu yeye analalamika ajawahi kutumiwa picha akiwa mtupu et mimi natumiwa so jamaa alikuwa analalamika mpaka kwao anajulikana kama mme mtarajiwa wa hiyo msichana

Hawa wengine wanautakaga usingo maza wenyewe, wanaulazimisha usingo maza

Ukipata nafasi ya kupiga punyeto piga tu
 
Mahusiano yana mambo mengi, muhimu focus na targets zako ulizojiwekea kwenya hayo mahusiano...
Ukifatilia sana unaweza kuchizika.

Kimsingi, yule mwenye kisu likali ndiye alaye nyama. Mwenye kisu kibutu ataambulia mifupa.
 
Dunia nzima nahisi tuna visu vikali mkuu
 
Back
Top Bottom