Kuna binti nipo naye kwenye mahusiano, kumbe ana mwanume mwingine na wana miaka 5 kwenye mahusiano

Kuna binti nipo naye kwenye mahusiano, kumbe ana mwanume mwingine na wana miaka 5 kwenye mahusiano

Dogo ni wewe ambaye ni mrahisi wa kuchotwa akili na wanawake ''wanaochuma mabuzi'' kama tulivyokuwa tunaitwa enzi zetu. Mimi hayo mambo nina principles zangu, ziwezi kugeuka buzi la kuchunwa.
Acha uchoko
 
Hlw

Nipo nae tangia mwaka juzi, nilimtongoza akanikubalia nikaanza kuhudumiana naye kama girlfriend wangu na alinambia yupo chini ya uangalizi na wazazi wake so alikuwa akiishi kwao

Nikimuhitaji nampata na tunakesha kesho yake anarudi kwao

Jana nampigia simu anapokea jamaa yake huku analia na ananilalamikia namgongea ni analia machozi kabsa na anadai wapo kwenye mahusiano miaka mitano sasa, nikamuuliza she yupo wap? Kanambia amelala nikamsihi asimdhuru

Sasa alikuwa anakula sehemu 2, tofauti

Jamaa anasema kinachomuumiza zaidi chati zetu yeye analalamika ajawahi kutumiwa picha akiwa mtupu et mimi natumiwa so jamaa alikuwa analalamika mpaka kwao anajulikana kama mme mtarajiwa wa hiyo msichana

Hawa wengine wanautakaga usingo maza wenyewe, wanaulazimisha usingo maza

Ukipata nafasi ya kupiga punyeto piga tu
Utapigaje punyeto wakati maharage ya mbeya yamezagaa kama huyo mwanamke wenu?

Halafu huyo mume mwenza wako ni mpumbaf, kagundua usaliti usiorekebishika, badala ya ku-move on Mungu kamuepusha kwa kumfunulia pazia, ye' anaanza kukulilia tena wewe mgoni wake!

Wanaume tuna laana gani siye lakini!

Halafu nawe, umeandika makala hii huku kiroho chako kinapwita kwa wivu kulaleki, utalishwa sana makombo mwaka huu.

Usikute mwanamke anayewapanga mkapangika, hata shule hajaenda lakini ana uwezo wa kuwala akili mababa mizima na madevu yenu!

Isee, huyo binti nimempenda.
 
Back
Top Bottom