Kuna binti nipo naye kwenye mahusiano, kumbe ana mwanume mwingine na wana miaka 5 kwenye mahusiano

Una hakika mpo wawili tu??
Ukute mpo wengi zaidi, hasa kama ni mjini - mji mkubwa
Inawezekana tupo wengi kaka, mimi nna miaka nae mitano, jamaa yupo nae miaka 5 , nna iman tupo wengi
 
Noma ni
Ulikuwa ni mchepuko tu mkuu au ulikuwa ushamuweka kwenye mahesabu marefu ?..
Noma.. nilikuwa mchepuko kwa miaka 3 aisee aliniweza
 
😂 sio rahisi em nipe, mbinu hapa nianze kupata notes usiniambie niikate tu mashine
Kata mashine hiyo bakisha kipisi kwa ajili ya kupitisha haja ndogo

Huo ungese wa ngono kwishaa
Au kua mpiga nyeto mtiifu
 
Huwezi jua labda haukuwa mchepuko ila back up plan
Nimehakikisha jamaa alitakiwa kumuoa mwishoni mwa mwaka huu so, now kakosa kote jamaa hawezi kumuoa tena
 
Hajapendwa huyo 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…