Kuna binti nipo naye kwenye mahusiano, kumbe ana mwanume mwingine na wana miaka 5 kwenye mahusiano

Hii simulizi kama ni ya kweli basi umeigeuza kidogo,aliyepigiwa simu ni wewe tena ukafokewa sana na ukaanza kulia na ukatishiwa sana huyo ni wewe.
Mapenzi is not for weak
 
Aliyeumba mapenzi hakusema yanamaumivu
Aliyeumba mapenzi kakusema unaua wivu
Gharama mapenzi gharama
Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama
Gharama mapenzi gharama
Na nidonda sugu halitibiki ukishazama
Unamuamini nakuzani ndugu yako
Kumbe kijini ndio baby wa baby wako


realMamy upo kumbe kitambo sana ulipotelea wapi
 
Nipo rafiki yangu.
 
Vijana wa siku hizi mnakwama wapi? Unatangaza ufala wako wazi wazi kwenye social media? Huoni kuwa wamekuweka mtu kati wanakula fedha yako? Kwamba wanakuonyesha kuwa wewe ni kidume kumbe wanakuna kuwa ni fala wa kulia fedha? Huo mtindo uko sana siku hizi. Anaweza kujifanya ni mke wa mtu na mumewe akawa anakudanganya kuwa wewe ndiye unajua kunyandua zaidi mumewe hajui... kumbe unaliwa.
 
Huyo jamaa mwenyewe tapeli tu, mahusiano miaka 5 ulisikia wapi?

Hapo likijipata linaoa mwingine.
 
Acha upumbavu hanithi wewe
 
Acha uhanithi… dogo
Dogo ni wewe ambaye ni mrahisi wa kuchotwa akili na wanawake ''wanaochuma mabuzi'' kama tulivyokuwa tunaitwa enzi zetu. Mimi hayo mambo nina principles zangu, ziwezi kugeuka buzi la kuchunwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…