Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

Tanzania ina overpopulation kwa sababu zifuatazo;

Darasa la wanafunzi kukaa 45, Tanzania wanakaa wanafunzi 100.

Ajira 50 zikitangazwa basi watakaoziomba ni watu 3000.

Matundu ya vyoo 10 mashuleni yanatumiwa na wanafunzi 1000.

Overpopulation inaenda mbali zaidi ya kuwa na eneo kubwa la ardhi tu, lazima namba ya watu iendane sambamba na huduma za muhimu vilevile fursa zilizopo.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mimi Kila siku naliongea Hilo ila wapumbavu hawaelewi
 
Na waliopo kwenye ajira wanalipwa pesa kiduchu sana wakati mabilioni yakipelekwa nje ya nchi kama faida kwa makampuni.
 
At from diploma to masters
 

[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Tutakuwa kama Nigeria
 
Tanzania kuna overpopulation, kasi ya ukuaji Idadi ya watu haendani kabisa na ukuaji uchumi wetu. Usidanganye watu wazidi kufyatua.
 
Sahihi kabisa.
 
Naunga mkono hoja na Bado kununua wabunge,madiwan wenykt wa mtaa
 
Tanzania kuna overpopulation, kasi ya ukuaji Idadi ya watu haendani kabisa na ukuaji uchumi wetu. Usidanganye watu wazidi kufyatua.
Tatizo sio kufyatua , tatizo hapa unalikwepa ambalo ni "ukuaji wa uchumi wetu" ...

Asilimia kubwa ya watu ,wamebadili mtindobwa maisha..
Wengi wanzaa watatao wanne, 3 wawili hata mmoja

huweezi linganisha na miaka ya 90 huko ambapo babu yako ana wake wanne na kila mmoja ana watoto wa5.

Baba yako ana watoto 9 hayo mambo zamani fnio yalikuwa kwa sana lakini sio sasa hivi mke kujifunguwa mpaka operation..

Kubalibtu kwamba nchi hii amendeleo yako yanaenda taraibu sana. Changamoto za toka uhuru hadi leo 2023 bado tunapambana nazo...

Ndio maana mpaka leo bado hatujatatua kero kama uhaba wa maji, umeme, elimu, afya na huduma nyinginezo..

Nasasa hasa katika sekta ya uwekezaji , biashara na etc ni zero .. na ndio maana hakuna ajira mpya , kampuni ni zile zile , taasisi ni zile zile,.
Narudia tena hakuna overpopulation yyte hapa tz.. we mpaka sasa hivi huku Dar kuna meneo bado yapo kama porini/kijijini
 
Tutakuwa kama Nigeria
Ndio kina chofauta kundi kubwa lanvijana wenye vyeti na degree mkononinwasio na mitaji na wameshindwa kujiajiri ..

watakimbilia nchi za nje kutafuta ajira ,exposure na experience huko nje .. kuliko wabaki hapa bongo na kushauriwa eti wafanye boda boda
 
Juzi nimeona mstaafu mzee Mizengo Pinda kapigiwa pande arejee kula allowances na marupu rupu ya umma, kuna siku kitawaka tu hilo halina mjadala., sio suala la IF ni suala la WHEN. Inshaallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…