Tanzania ina overpopulation kwa sababu zifuatazo;Nchi ili kukuwa kiuchumi inahitaji nguvu kazi nguvu kazi ni pamoja ni idadi kubwa ya watu..
Tanzania haihitaji kuwa na idadi ndogo ya watu la hasha , tunahitaji sekta binafsi na wawekezaji wenye makampuni kila kona ya mkoa , na serikali iangalia njia mpya za kutengeneza ajira ili ipate kodi kutoka kwa awafanya kazi
Hata hao china uliowatolea mfano na sera zao hizo za miaka hiyo , imapct yake wamekuja kuiona kipindi kile cha covid... yani china ina wazee wengi kuliko vijana na vijana nao hawazaliani..
Mfano mwingine fikiria nchi kama canada .. raia ni wachache sana .. kiasi kwamba nchi inategemea immigrants kama nguvu kazi yake.. ni kwasababu hizo
Darasa la wanafunzi kukaa 45, Tanzania wanakaa wanafunzi 100.
Ajira 50 zikitangazwa basi watakaoziomba ni watu 3000.
Matundu ya vyoo 10 mashuleni yanatumiwa na wanafunzi 1000.
Overpopulation inaenda mbali zaidi ya kuwa na eneo kubwa la ardhi tu, lazima namba ya watu iendane sambamba na huduma za muhimu vilevile fursa zilizopo.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app