[emoji23][emoji23][emoji23] boss nchi yetu haina overpopulation bali ina bajeti ndogo ya taifa. Kwa overpopulation hatujafika huko sema Dar ndio inaoverpopulationOverpopulation ni tatizo kubwa linalochangia ukosefu wa ajira. Kasi ya ukuaji wa idadi ya watu inabidi kudhibitiwa ukichangia kasi ya ukuaji uchumi wetu ni ndogo.
Hii sababu isipozingatiwa tutaendelea kulalamika tu, Taifa lolote lenye mipango thabiti linazingatia sana namna ya kubalance idadi ya watu wake, ongezeko la watu ni muhimu liendane na fursa na ukuaji wa uchumi wa taifa husika, muhimu sana. Mataifa ya ulaya wamefanikiwa kuwa na Uchumi mkubwa, fursa zinazodi idadi ya watu. Hii inawafanya tatizo la ajira kuwa na athari ndogo kwaoOverpopulation ni tatizo kubwa linalochangia ukosefu wa ajira. Kasi ya ukuaji wa idadi ya watu inabidi kudhibitiwa ukichangia kasi ya ukuaji uchumi wetu ni ndogo.
Hatujaweza kuitumia vizuri hiyo population kwa tija, watu wanaongezeka na hatuna namna zenye ufanisi bora wa kuwaandaa ili wawe na tija kwa uchumi wetu, matokeo yake hawa watu wanageuka kuwa mizigo kwa kundi ndogo linalozalisha, hawa watu wanaongezeka kama tungewaandaa vema wangeweza hata kujiajiri wao binafsiNajua humu kuna watu wa level tofauti za elimu na uwezo tofauti wa kupambanua mambo binafsi nawaomba kwenye hoja ya population muiache kabisa hasa katika muktadha mnaozungumzia, mnaweza mkamlaumu mwendazake kwa mambo mengi sana ila kama kweli akili zenu zinafanya kazi vizuri basi mtaona na mazuri mengi aliyoyafanya katika taifa hili, kwanza kabisa suala la unemployment katika mataifa mengi ya kiafrica hayasababishwi na high rate of population growth sababu mataifa mengi ya kiafrika yana idadi ya watu ambayo ni ndogo ukilinganisha na rasilimali iliyopo bado tunatakiwa tuendelee kuzaliana kwa wingi angalau kumeet lile gap la rasilimali na population tuliyonayo.
Ukosefu wa ajira ni matokeo ya mifumo mibaya ya kielimu ambayo inamsaidia kijana kuondokana na ujinga tu na sio kuwa innovative katika mazingira yake hilo ni pamoja na sera mbaya katika kusimamia mgawanyo sawa wa rasilimali zinazopatika katika maeneo yetu. Kwa upande mwingine chukulia mfano babu zetu hawakuwa na ajira na walikuwa na wake wengi na watoto lundo na waliwasomesha wote waliokuwa tayari kwenda shule just kwa shughuli za kilimo na ufugaji leo sisi vijana tumesoma wote tumekuja daslam tumelundamana hapa tumeacha vijijini kwetu maeneo makubwa yamekuwa mapori maana hakuna shughuli za uchumi zinazoendelea huko wote tunataka kukaa ofisini kwa kifupi tumekuwa WAVIVU sana hatutaki tena kazi ngumu tuko tayari kuwa wapambe wa watu waliofanikiwa bila aibu tumeuza UTU wetu na wengine wameenda mbali zaidi wameuza jinsia zao kwa wanaume wenzao ili tu aweze kuishi mjini.
Tujitafakari sana kama taifa maana wazungu wametuingiza kwenye mtego wa mda mrefu na sasa tumenasa maana walituletea elimu ambayo ilitakiwa ituwezeshe kutumwa na wao na sasa tumekuwa watumwa wa kifikra.
Hakuna tofauti kati ya pesa ya umma na ccm,ccm ni majizi tu,Kwani chongoro na mjema wanalipwa na serikali au chama
Boss huko kwenye mifuko ya kijamii wamekula pesa zote na ndio sehemu iliyobakia ya wao kupiga ndio maana kila uchwao kikotoo cha mstaafu kinachezewa na pesa yake imeisha. Acha utani wewe[emoji23][emoji23]FAO LA KUJITOA, FAO LA KUJITOA, FAO LA KUJITOA, Hili fao lingesaidia sana vijana kupata mitaji ya kujiajiri na kuja kuajiri wengine na wengine na serikali ingeongeza walipa Kodi na mifuko ya hifadhi ingeongeza wanachama, unamkuta kijana yupo kijiweni Hana chakufanya huko kwenye mfuko wa hifadhi anapesa kama angepewa angeweza jikomboa na kukomboa wengine Tena akiwa na nguvu, hili fao lingerudishwa hata kwa asilimia Fulani au Kwa vigezo Fulani mfano kijana kuwa na mchanganuo wa kile anachotaka kwenda kufanya.
Unemployment rate ulaya ni kubwa pia, usidhani ni huku tu. Actually lilianzia kwao, sema kule government inamlisha na kumtunza mwananchi mfano marekani. Kuna government payments as a citizen, kule kuna homeless people ila sio watu wanaokosa kula au kuishi maana kule ardhi ni bei kubwa mno.Hii sababu isipozingatiwa tutaendelea kulalamika tu, Taifa lolote lenye mipango thabiti linazingatia sana namna ya kubalance idadi ya watu wake, ongezeko la watu ni muhimu liendane na fursa na ukuaji wa uchumi wa taifa husika, muhimu sana. Mataifa ya ulaya wamefanikiwa kuwa na Uchumi mkubwa, fursa zinazodi idadi ya watu. Hii inawafanya tatizo la ajira kuwa na athari ndogo kwao
Tanzania haina overpopulation, bado nchi yetu inahitaji watu wengi angalau tuwe milioni 100Overpopulation ni tatizo kubwa linalochangia ukosefu wa ajira. Kasi ya ukuaji wa idadi ya watu inabidi kudhibitiwa ukichangia kasi ya ukuaji uchumi wetu ni ndogo.
Kazi yenu ni kujilinganisha na ulaya. We unajua number ya wasomi ulaya? Karibu nchi nzima wana minimum kuanzia high school ama diploma.Unemployment rate ulaya ni kubwa pia, usidhani ni huku tu. Actually lilianzia kwao, sema kule government inamlisha na kumtunza mwananchi mfano marekani. Kuna government payments as a citizen, kule kuna homeless people ila sio watu wanaokosa kula au kuishi maana kule ardhi ni bei kubwa mno.
Hahahaha nicheke kwanza. [emoji23][emoji4]CCM haitoki madarakani na la kuwafanya hamna.
Hakuna mwanasiasa mwenye malengo ya kumkomboa mtu yeyoteNa hawa ndio watu pekee watakao tusaidia kuwatoa CCM madarakani, acha wajae tu mkuu siku wakichoka itakuwa rahisi sana kukitoa hiki kizazi cha watu walio laaniwa(CCM), mimi nikiona ma-jobless wanaongezeka mitaani kwakweli nafarijika sana naamini hawa ndio watu pekee wa kulikomboa hili taifa siku wakiamka.
Hawa CHADEMA na act wazalendo ni CCM wale wale tu hawana jipya tena, wazazi tafadhali sana pelekeni vijana wenu vyuoni wakasome taifa linaangamizwa na wajinga wachache.
Umeandika utumbo utumbo sijui ndo njaa imehamia kwenye ubongo baada ya kusota kitaa bila ajira?Tunambebesha Samia lawama za bure tu. Yule Magufuli aliharibu mfumo mzima wa ajira na kipato katika nchi. Kwanza kwa kuanzisha miradi ambayo haina maana kama bwawa la Mwl Nyerere, kujenga viwanja vya hovyo vya ndege, kujenga Dodoma pasi na sababu, kunyima wafanyakazi haki ya msingi ya nyongeza ya mshahara na kuharibu kipato cha familia, kufukuzisha watu kazi hovyo, kuharibu mfumo wa mafao kwa wastaafu na sekta binafsi, kuharibu sekta binafsi, kuharibu mfumo wa siasa wa nchi na mwisho kufa kifo cha kizembe kwaajili ya ujuaji wa kijinga tu. Bye Magufuli.